Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Unapokua na MKE mstaarabu,mrembo na shepu anayo.

Afu bahati mbaya ukawa UNAKIBAMIA, kinachokufanya kwako iwe Ni ngumu Sana kufika kileleni mpaka inafikia hatua anakuvumilia na anakuweka wazi kua Ni wazi humridhishi mbadaa wake mwanamke Ni anajichua ili kulinda heshima ya ndoa.

Aisee kama mwanaume kwa mazingira Ayo Unapaswa kua makini mno na umheshimu Sana mkeo.

Ulichofeli mtoa mada,
Ukaanza kua mtu wa michepuko kutafuta vifuniko vya SPIDO, Ukidhani Mwenzio hawezi kutafuta mitaimbo .

Sasa Mwenzio nae kaamua kuchepuka kama ulivyokua unafanya, Umeleta Uzi ukisingizia pesa.

This is KARMA
Mtoa mada amepata alichopanda.

Cc: Evelyn Salt, RReigns, Extrovert, financial services, mawardat, View attachment 1827327View attachment 1827328View attachment 1827333
Unajua ninasomaga threads za wanaume wengi humu naishiaga kucheka sana?[emoji23][emoji23]
Majority wanachoandikaga huku si uhalisia. Wnaaishi maisha tofauti sana. Wanyanyasaji sana. Opportunists, wachepukaji wakubwa. Wengine hupata support kwa partners wao ila dharau zimewajaa mpaka makalioni. Sisi wanawake huwa tuu wavumilivu sana. Unakua na mtu, unampenda kwa dhati sana. Mnasaidiana hapa na pale. Hakuhudumii chochote. Unamjali, muda wako wote unadedicate kwake ila anajikuta keki sana. Tunajioa moyo maybe mtu atabadilika kumbe hovyo kabisaaa... siku ikifika ya kuamka usingizini ndo yanakuaga kama ya mleta mada[emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan hapa kiujumla anataka aonewe huruma tumpe farajaaa... mwanamke akikupenda hata siku moja haangalii pesa zako. Ni tabia zako mbaya na chafu ndizo zitamfukuza. Mbona kuna wake wanapiga tafu waume zao. Unakuta mtu maisha bado anapambana mke anaunganisha nguvu lakini kwakua tumejawa kiburi cha uzima basi ndo hivyo. Unachukua huku unahamishia huku. Hizi red flags kwa mahusiano yoyote yale ukiyaona mwanzoni kabisa bora uyaue hayo mahusiano maana ndo tabia halisi ya mtu husika awe ke ama me.
Wengi tabia za kivulana zinawasumbua tu hawataki kuwa wnaaume. Ukiheshimiwa heshimika. Ukitaka kudhataulika utadharaulika mwisho wa siku ndo kuleta threads humu. Huwezi kuta mara nyingi siai wanawake tunaleta malalamiko humu. Tunavumilia sana.

Mengi yanatuua ndani kwa ndani. Ila tukisemaga basi tunamaanisha. Na comeback zetu huwa ni za hatari kama za huyo mke. Japo mimi binafsi sipendelei style ya mke aliyotumia maana huo nao sasa ni umalaya. Utakitembeza nje huko ukijua unamkomoa mwenzako kumbe unajiumiza mwenyewe. Cha muhimu angefocus na boashara na watoto wake. Wamama wengine nao kujidhalilisha tu wkaati watoto ni wana akili kama nn hasa wa miaka hii. Ni kuwaumiza watoto tu.
 
Mi nadhani wanaume sometimes tuwajibike kwa madhambi yetu pindi na wenzetu wanapoamua kurudisha mashambulizi.

Uyu mtoa mada alikua mchepukaji mzuri Sana,
Bahati mbaya mwenzie nae alipoanza kuchepuka IMEMUUMA MNO mpaka anatangaza kuvunja Ndoa.

Kisingizio anacholeta Ni pesa, WAKATI UHALISIA anaujua.

This is KARMA

cc: mawardat, Extrovert, financial services, RReigns, Evelyn Salt, @mbalizi1View attachment 1827299View attachment 1827300
Mimi huwa simwurumii mwanaume aliyekimbiwa wao ndio huanza kuchepuka wakilipiziwa ni kilio na kutafta huruma
 
Mara nyingi mabinti wa style iyo huwa wanaenda kuangukia pabaya na kupelekea kuachika.. ..mke/mchumba wako unampiga chini alafu unakimbilia kuolewa na mtu mwingine kisa eti umefulia n.k! Uliemwacha huenda akawa ni bora zaidi ya uyo unaemfuata/unaeolewa nae.
Jamaa ana makando yake kama unavyoona deed pond kaweka. Ila suala la mwanamke kwenda nyanduliwa na mwanaume mwingine tena akiwa ndani ya ndoa ni takataka kbs. Hata kama ameumizwa kias gani. Angemove on tu. Mwanaume hadhalilikagi japo ndo unakua umemuachia pigo kali sana moyoni.

Huyo msela mwenyewe hana mapenz ya dhati kwa mwanamke. Ni vile kaona ana kibiashara hapo. Anapenda mtelezo tu
 
Mimi huwa simwurumii mwanaume aliyekimbiwa wao ndio huanza kuchepuka wakilipiziwa ni kilio na kutafta huruma
Hii ni win win situation, ni kwa pande zote, Wacha kila mmoja akufwe na mzigo wake [emoji3]
 
Pole kwa yaliyokukuta mkuu! Huna budi kukubaliana nayo na kujipa muda siku utampata mama mwingine bora mtakayewalea watoto wenu pamoja kwa upendo, kuhusu pesa nadhani kuna wanawake wanaweza vumilia waume zao na kuwaombea Mungu aruhusu baraka za kipato ktk familia, si wote wanaonuna na dharau eti sababu mume amefulia.

Pia tujitahidi kuwa na vyanzo vingi vya mapato ili ukikosa huku unapata sehemu nyingine maisha yanaendelea. Itasaidia kuepusha kisirani
Dah..mrembo..umepita mulemule tu....paragrafu ya kwanza umepulizia....paragrafu ya pili umeng'ata...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
This is karma.
Malipo Ni hapa hapa duniani.

Inavoonekana mtoa mada alipokua na hela alkua kiboroDinda.

Sasa pesa zimekwisha,
Michepuko imemkimbia na nyumban huduma inasua sua.

Afu mwanamke MWENYEWE Ni pisi Kali, wahuni wamempandia Dau.

Na inavoonekana mtoa mada alipokua na pesa alkua na tabia kuwagongea wanaume wenzake Anaofahamiana nao madem wao.

Sasa na yeye pesa zilipokwisha, sahivi wanamgongea MKE wake, na maneno ya shombo wanamrushia.

Cc: mbalizi1, Rohombaya, mtimawachi, Hornet miss pablo cariha, onlyalvira, BAK, HARUFU, Extrovert, cocastic, Mshana Jr,
2021-06-23-10-40-36.jpg
2021-06-23-10-39-13.jpg
 
Na wanatega hasa,juzi kati nilikuwepo hapo IYUNGA nikakutana na kabinti daaah! ana tako,guu, kiuno yaani hadi IMANI ikanitoka nikajikuta nimemvamia
Hahaha we acha tu ndugu, Kuna mama mmoja mchanganyiko wa muhaya upande wa mama yake na msukuma upande wa baba yake loooooh! Nilikumbana naye kilimahewa Mwanza pale aseeee ni shida kubwa! Halafu anajua kutifuana maana amekaa sana na wazaramo na wamakonde, yaani mtu utadhani kashushwa tu toka juu
 
This is karma.
Malipo Ni hapa hapa duniani.

Inavoonekana mtoa mada alipokua na hela alkua kiboroDinda.

Sasa pesa zimekwisha,
Michepuko imemkimbia na nyumban huduma inasua sua.

Afu mwanamke MWENYEWE Ni pisi Kali, wahuni wamempandia Dau.

Na inavoonekana mtoa mada alipokua na pesa alkua na tabia kuwagongea wanaume wenzake Anaofahamiana nao madem wao.

Sasa na yeye pesa zilipokwisha, sahivi wanamgongea MKE wake, na maneno ya shombo wanamrushia.

Cc: miss pablo cariha, onlyalvira, BAK, HARUFU, Extrovert, cocastic, Mshana Jr, View attachment 1827370View attachment 1827371
Wanaume wakiwa na hela hawashikii uhuni tu na kutesa wake zao, hafu wakiona wake kimya hujua wamesamehe kumbe wake huvuta tu mda, Sasa mleta mada anajiliza Liza hapa baada ya kulipiziwa, ndio maana twaambiwa usichopenda kufanyiwa Jambo usitendee wengine.
 
Unapokua na MKE mstaarabu,mrembo na shepu anayo.

Afu bahati mbaya ukawa UNAKIBAMIA, kinachokufanya kwako iwe Ni ngumu Sana kumfikisha kileleni mpaka inafikia hatua mwanamke anakuvumilia na anaamua kukuweka wazi kua Ni wazi humridhishi kitandani mbadala wake mwanamke anakwambia Ni anajichua ili kulinda heshima ya ndoa yenu.

Aisee kama mwanaume kwa mazingira Ayo Unapaswa kua makini mno na umheshimu Sana mkeo.

Ulichofeli mtoa mada,
Ukaanza kua mtu wa michepuko kutafuta vifuniko vya SPIDO, Ukidhani Mwenzio hawezi kutafuta mitaimbo .

Sasa Mwenzio nae kaamua kuchepuka kama ulivyokua unafanya,

Mleta mada Umeleta Uzi ukisingizia tatizo ni pesa kumbe UHALISIA unauficha chini ya kapeti

This is KARMA, na DUNIA Ni duara.
Mtoa mada amevuna alichopanda. PERIOD[emoji106]

Cc: onlyalvira, Evelyn Salt, RReigns, Extrovert, financial services, mawardat, View attachment 1827327View attachment 1827328View attachment 1827333
Kimeumana msemo wa financial services
 
Asalaam,

Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.

Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla maisha yakabadilika nikaanza kupitia magumu kiuchumi hata jero mtihani kupata.

Balaa lilianza hapo kudharaulika, kununiwa, Visa vya kila aina mpaka hatimaye Mimi ndiye nikawa "mama wa nyumbani" na yeye akawa anarudi nyumbani ka guest house ni kulala tuu bila kujali hata watoto wanna hali gani.

Biashara nimemfungulia mwenyewe, na hata kodi nimekua nikimsaidia kulipa. Pamoja sasa Sina shughuli maalumu lakini Mungu ananisaidia kumudu kutimiza mahitaji muhimu ya familia yangu.

Sasa amepata mwanaume mwingine na amenidhibitishia na nilipohitaji aende kwao akapumzika akaniambia hawezi atabaki Dar aendeleze maisha yake kwakua anashida saana ya hela. Kumbe nia yake ni kuendelea kuishi na huyu mwanaume.

Leo nimedhibitisha. Ndoa yangu haitakuwepo tena baada ya kukamilisha taratibu za kisheria.

Roho inauma kwakua sikutegemea kama wanangu wataishi na mzazi mmoja.

Wanaume tutafute hela, ndo thamani yetu!

#Mwanamkemkwelinimamayakotuu

Dah pole mkuu imeniuma
 
Jamaa ana makando yake kama unavyoona deed pond kaweka. Ila suala la mwanamke kwenda nyanduliwa na mwanaume mwingine tena akiwa ndani ya ndoa ni takataka kbs. Hata kama ameumizwa kias gani. Angemove on tu. Mwanaume hadhalilikagi japo ndo unakua umemuachia pigo kali sana moyoni.
Huyo msela mwenyewe hana mapenz ya dhati kwa mwanamke. Ni vile kaona ana kibiashara hapo. Anapenda mtelezo tu

Duh 😱
 
Wanaume wakiwa na hela hawashikii uhuni tu na kutesa wake zao, hafu wakiona wake kimya hujua wamesamehe kumbe wake huvuta tu mda, Sasa mleta mada anajiliza Liza hapa baada ya kulipiziwa, ndio maana twaambiwa usichopenda kufanyiwa Jambo usitendee wengine.
Imekula kwake kibwengo huyu
 
Back
Top Bottom