Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Hayo ni Mambo ya kisheria kumbuka hajaleta kesi kwako kuamua
 
Asante team ya makaburini πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kazi nzuri sana! Kumbe huyu mwehu alikuwa anatuinjoy tu humu
 
Upande wa pili wa kazi gani mzee? Jamaa amekiri kuwa alipendekeza matako kama kigezo cha kumuoa huyo mwanamke sasa hapo kuna haja ya mjadala kweli ama hujui tabia za wanawake wenye matako na shepu nzuri zilivyo ukiwa huna kitu?
Jamaa ni mwanaume mwenzetu ila alifeli sana kwenye ndoa yake.

Matatizo yote kayasababisha yeye, asitafute huruma humu.
 
Umeongea ukweli mtupu. Pamoja na kumuumiza niliyenaye japo ana mapungufu, lakini ananipiga tafu kipindi hiki kigumu.

Wanawake mna mioyo ya huruma sana
 
Mi hata sielewi ila mtoa mada ni shwaini tu kumbe alifanya uhuni bana hata simtetei ye avune alichopanda [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] ila na wewe si unapita mule mule kama jamaa? Si na wewe unasasambua sana mbususu ama?[emoji23][emoji23] muda wako waja pia maaninaaa zenu. Dawa tuwe na pesa tuu tuwaoe
 
Mzee wa kufukua makaburi arooo, kumbe naye ni mchepukaji aroooo, pumbavuuuu zake
Sio wa kuonea huruma uyu,

Hii ngoma ni 50/50 mwanamke kamfanyia revenge ya haja.

Hamna kitu inauma unajifanya unachepuka mbali uko, afu mwenzio akianza kuchepuka anachepukia pale pale unakoishi unaona kabisa[emoji2]
 
Uyu jamaa kufulia inawezekana ni kweli kafulia,

Ila kufulia ni kisingizio tu cha kuficha sabbu za mke wake kuchepuka.

Inavoonekana alvokua na ela alkua mchepukaji mzur, pesa zimeisha michepuko imemkimbia.

Na wenzie wenye hela wameamua kumsaidia kumtunzia mke wake mrembo azidi kunawiri.
 
Umeongea ukweli mtupu. Pamoja na kumuumiza niliyenaye japo ana mapungufu, lakini ananipiga tafu kipindi hiki kigumu.

Wanawake mna mioyo ya huruma sana
Kwani mkuu wewe ndo umekamilika? Tatizo lenu ndugu zangu huwa mumejipa ukamilifu sana. Sisi kupewa mioyo ya uvumilivu isiwape upofu. Tunaumiaga sana. Tunainvest kwenu ila nyie munahamisha.

Mtu anapokupiga tafu haimaanishi hana mahitaji yake. Ni huruma tuu na upendo. Na siyo kila mwanamke can offer that. Very few. Na mnavyotuharibu ndo mnatufanyaga tuwe magangsta kweli.. huruma ikishapoteaga ni baasi. Kuna siku utamkosa pia na huyu halaf uanze lalamika wanawake wote takataka tu kumbe wewe ndiye jalala. Pendeka mkuu. Invest kwaajili ya familia yako. Maradhi yapo.
Inapendeza siku moja wewe na mke na wanao mnatola tu kavaccation hata maldives, beach ya portugal huko sijui wapi. Siyo mkabanane kidimbwi daily na milupo.
 
Ni kweli mke wake hajatumia approach nzuri kulimaliza hili.

Ila ili ni funzo kwa sisi wanaume, ukiona mwanamke kajitoa kukuheshimu basi na sisi tujiheshimu.

Mtoa mada anatupa funzo kubwa kwa anayoyapitia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…