Hatimaye ndoa yangu imevunjika

kama wapo ni 1% only
 
Haha mkuu mkuu mwaume huwezi kuacha kuchakata kitumbua Cha nje hyo haikwepeki..!
 
Pole mkuu.... inaumiza sana kuona watoto wanalelewa na mzazi mmoja na zaidi kama hukuzaliwa katika familia yenye mitala,vbasi uchungu zaidi ni pale watoto wanapochanganya matumbo ya mama. Hakunaga umoja.
Mpaka leo bado unalilia umoja wa watoto? Wewe umoja wao unakuhusu nini?
 
Its true...n thats y i always take the dirt off my shoulders...najitahid kumkwepa sana..na ndomana sijataka lala nae had leo
 
Siku zote Muosha huoshwa
 
Aisee Mimi ni shahidi wapo wanawake wanaovumilia dhiki,mke wangu ni wa pekee Sana,nimeishi naye miaka 12 ya dhiki kuu mpaka Kuna kipindi nilitamani Mimi ndio nimwambie aniache maana anateseka Sina hata mia.Kumbuka kipindi chote hicho hakuwahi kunionyesha dharau na akawa ananipa kadi ya bank Mimi ndio niwe natoa mshahara.Mungu mkubwa Sasa hivi tuna maisha mazuri wote ni waajiriwa
 
Pole sana mkuu. Ni kanuni ya vijana wengi tunaamua kuoa pale tunapojiona tuko well financially.. bila kujua kuwa na wao wanawake wanaangalia watu walio vizuri financially ili waolewe nao. Ukifulia ndo utamjua kuwa nia yake ni maisha mazuri, sio ndoa.
 
Aweee[emoji3059][emoji3059]

Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki. Musiharibikiwe na lolote lile. Akazidi kukujaza. Hongera kwa kuepuka kiburi cha uzima. Nakuhakikishia baraka uzipokeazo sasa ni kutomnyanyasa mwenzako. Na mkeo akifurahi jua na wewe mambo yako yanazidi kubarikiwa. Yanafunguka mno. Epuka sana mwanamke wako akiwa analia sana juu yako... sasa utajiri ukaongezeke muende zenu kutembea beach za uraya... au unasemaje?[emoji4][emoji4]
 
Ila kuoa ukiwa na unafuu wa maisha naona ndio risk zaidi bora uoe ukiwa huna hela tu [emoji28][emoji28][emoji28] unajua kweli mnapendana
Ni kweli mimi nilioa sina kazi na sikuwa hata na hela,mpenzi wangu(mke kwa Sasa) akasema usiogope tukifunga ndoa baraka zitakuja na kweli Mungu ametubariki.Huyu mwanamke nimeishi naye maisha magumu jaman khaaa
 
Alichokosea ni kuja huku jf kumsagia mwenzie kunguni.

Alitakiwa deep from his heart akaushie na sio kuleta visingizio
 
Pole sana mkuu. Ni kanuni ya vijana wengi tunaamua kuoa pale tunapojiona tuko well financially.. bila kujua kuwa na wao wanawake wanaangalia watu walio vizuri financially ili waolewe nao. Ukifulia ndo utamjua kuwa nia yake ni maisha mazuri, sio ndoa.
Hapo kwa financially si kweli kwa kiasi chake. Ni matabia yenu mabovu ndo huwaangusha. Soma thread yote uone matukio jamaa aliyokua anampiga mkewe. Mnapendaga sana kujioa umalaika aisee. Ijapokua wanawake wazinguaji pia wapo
 
Pole sana ndugu, hiyo ndio hali halisi ya ndoa nyingi mjini kwa sasa.
 
Mzee mwezangu hizi hekima sio za mchezo mchezo,salute kwako...all in all Mungu akamptie nguvu na busara ndugu yetu huyu akapate kusimama imara, maumivu yakapungue then atafte mwenza walee watoto na waendeleze maisha.
Ahsante mzee mwanzangu! Kweli Mungu amsaidie kuvuka salama kipindi hiki cha divorce.

Kama ndoa zenyewe ndiyo hivo mzee mwenzangu vipi na sisi tuingie huko ama tughairi tuishie kimasihara tu?😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…