Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Mkuu kila siku tunasema huku ila hukusikia.
hawa viumbe sio wa kuamini.
mwanamke akipata pesa....anawaza kuishi pekee yake ila mwanaume akipata pesa ..anawaza kuongeza wa kuishi naye.

wanawake wengi wana tabia inayofanana
 
Mhusika asije akawa kajinyonga kwa spana alizopigwa jaman. Anayemjua amchek tafadhali... maana loh
 
Pole Sana mkuu, kama huyo hawala alikuwa a najua uyo ni mke wa mtu trust me Ata muacha tuu uyo mkeo,.

mala nyingi sio mala zote watu wanao date na wake za watu huwa hawana malengo nao.

, pia hawana Imani nao kwakuwa Wana Pima kama ni mke wa jamaa na Ana nipa mimi time vip akiwa na mimi hawez kuwapa wengine?
 
Hakuna kitu kinanikera kama mtu kujitambulisha ati "mtaalamu wa ndoa"! Seriously πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£! Mtaalamu wa ndoa πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚!? You 're serious joking 😑!
 
Huyu hajui ndoa yaweza kuvunjika Hadi uzeeni mwache ajishaue tu, Kuna ndoa ya mke 65 na 75 mume imevunjika na talaka juu
 

@financial services nikuambie tu mama kua...
Huwezi kuigiza unanjaa wakati umeshiba,na huwez kuigiza umeshiba wakati unanjaa
Kuna wakati unajisahau unarud kwenye hari yako harisi
Leo hi utasema atapata mtu mwingine atakae kubali hali zote
Ila kumbuka haya unasema leo!
Mambo haya hayana format
Muhimu kuishi tu
 
Mapenzi hayalazmishwi ukiona hivyo jua huyo hakua mtu sahihi kwako,mana unaweza lazmisha mwishowe ukapata kesi ya murder
 
Kwahiyo baba angu unamaanisha hatuwezi kuwavumilia mkiwa hamna pesa? Tupo na nyie for money tu? πŸ€”
 
Mkuu kumbe ARV ni kweli inazubaisha virusi? Hata pakitokea mchubuko?
 
Sure namsikitikia saana, na bado wapo wote hata sasa
 
I hope nami nitakuja kusimulia hiki baadae thanks kwakuntia moyo
 
Wanawake wengi ni wapumbavu
 
Mtihani wa kimaisha uliokupata umekusaidia sana kumfahamu aliyekuwa mkeo, bila huo mtihani hayo yote yasingefichuka.

Shukuru umepata la kujifunza, endelea kupambana mambo yatakaa sawa
πŸ‘πŸ‘
 
Kisasi muhimu sana ,huyo mwanamke na bwanake hutakiwi kuwaacha kirahisi hivyo. Mungu atakulipia kwa wakati wake na wewe unawalipisha madhambi yao now. Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…