Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahah kuoa sio masaburi mkuu kwamba hata nyani anayo😅😅😅Mkuu mpaka leo hujaoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah kuoa sio masaburi mkuu kwamba hata nyani anayo😅😅😅Mkuu mpaka leo hujaoa?
Kabla hajaolewa alinambia ...yeye skuhiz hapend tena ..yaan hata akipata mtu hawi na ile furaha na kuwa free kama ilivokua zaman enz zetu so anaolewa na jamaa basi tu sabab jamaa anampenda sana na jamaa ni mtu wa kanisan sana...nkasema duh..huwez amin demu kaolewa harus ya kifahar lakin hata kupost harus hapost. Nkamuuliza mbona harus sion kitu anasema wee acha tu nkasema huyu vip?weirdDuh mkuu , ila kuna wanawake ni wastaarabu na wavumilivu kuna mifano nnaijua dada alimvumilia babe wake akiwa hana kitu huku yeye kidogo alikua amepata kazi nakwambia alikua anamsapoti babe wake hadi pale mambo yalipokaa sawa. So ni kweli kuna wasioweza kuvumilia msoto ila pia kuna wenye utu na wavumilivu. Ila huyo x wako mmh si kaolewa huyo wahy anatengeneza mazingira ya kupasha kipolo? Hizi ndoa hizi [emoji25]
Siku zote ukiwa huna pesa na ukapendwa na Mwanamke,Basi jua kabisa hilo penzi ni la kweli,na hata akikuletea Mimba wakati uko teeh,ujuwe kabisa hiyo Mimba ni ya kwako kweli! Pesa nayo siyo nzuri sana katika Maisha yetu, maana huweza kukuletea mke fake au marafiki fake! Watu wanataka hiyo pesa yako tu,lakini wwe wala hawakuwihitaji kabisa, ndiyo maana pesa ikikauka na wao hao wanakauka kwako!!Ila kuoa ukiwa na unafuu wa maisha naona ndio risk zaidi bora uoe ukiwa huna hela tu [emoji28][emoji28][emoji28] unajua kweli mnapendana
Uko sahihi maana sijawahi ona kapuku kabambikiwa mimba ila wenye mihela wanabambikiwaga sana😂😂😂Siku zote ukiwa huna pesa na ukapendwa na Mwanamke,Basi jua kabisa hilo penzi ni la kweli,na hata akikuletea Mimba wakati uko teeh,ujuwe kabisa hiyo Mimba ni ya kwako kweli! Pesa nayo siyo nzuri sana katika Maisha yetu, maana huweza kukuletea mke fake au marafiki fake! Watu wanataka hiyo pesa yako tu,lakini wwe wala hawakuwihitaji kabisa, ndiyo maana pesa ikikauka na wao hao wanakauka kwako!!
Kama wewe siyo chanzo cha ndoa kuvunjika, basi mwache aende , muda utaongeaAsalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla maisha yak
Sio wazungu tu hata sisi nchi zetu hizi ndicho kinachotokea sasa, unaona majadiliano ya vijana wengi hata hapa jamvini wanasema hawana mpango wa kuoa.Hao watakuwa wazungu tu hao,ndio wenye mambo ya kipumbavu duniani hapa,hao ndio wanaopeperusha 'rainbow flag'
Hapo ni kuwa unataka kuwapatanisha wewe mwanamke mpaka anaenda kuishi na mwanaume mwingine bado unaona hapo anahoja ya kukueleza ukaja na conclusion hata ukija kuisikia upande wake? never under the earthPole sana mkuu, lakini mimi kaa mtaalamu wa mambo ya ndoa na mambo kaa hayo, nimesikia upande wako tu, siwezi kusema lolote kabla sijasikia toka kwa aliyekuwa mwenza wako, i mean your x, i am someone who never ever allows my emotions to overide my knowledge and intelligence, so ningependa sana kwanza kusikia toka kwa your x kabla ya kusema lolote, naona watu wanakupa pole, lakini mimi i came to conclusions and make rulings after i hear from both parties, its unfair to hear from only one side
Huu ndo upuuzi sasa, yani wanawake bhanaAnge weza kuniua huyu maana hawara anadai ananijua kindaki ndaki wakati binafsi simjui
Upande wa pili wa kazi gani mzee? Jamaa amekiri kuwa alipendekeza matako kama kigezo cha kumuoa huyo mwanamke sasa hapo kuna haja ya mjadala kweli ama hujui tabia za wanawake wenye matako na shepu nzuri zilivyo ukiwa huna kitu?Wengi manao mtetea mtoa mada hamjaskiliza upande wa pili.
Cc: mbalizi1, Extrovert, financial services
Umeeleweka vilivyo ndugu.Hapana mkuu..hahahah..mim ishu ni kwamba...ukishakua na mim halaf ukatoka ukaenda kwingne nikajua kabisa...kama nilikupenda kwel..basi kumgegeda mtu huyo huwa siwez kabisa...
Ila kwa mahusiano mapya fresh tu..kwamba najua huyu nakutana nae tunaendelea
Kaka binaadamu ni kiumbe hatari kuliko hata wanyama wa porini. utamfanyia wema wa kila aina, ila siku mambo yake yakiharibika bado atataka na wewe uharibikiwe. Furaha yake inakua sio yeye mambo yake kukaa sawa ila furaha inakua wewe pia kuharibikiwa. Ukiuliza sababu hakuna majibu.Binadamu wa ajabu sana. Malipo ya kumpenda mtu na kumuheshimu inakuwa ni kukukomoa ili hali hujamfanyia baya lolote.
Aliikubalia hela yake tu ndio sababu pesa ilipokata naye akasepa zake KIMA huyoAta kama anacho..huyo mwanamke kwanini alimkubalia tokea siku ya kwanza?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] labda upande was pili kuna kubwa kuliko[emoji3]Wengi manao mtetea mtoa mada hamjaskiliza upande wa pili.
Cc: mbalizi1, Extrovert, financial services
Hahahaha.dih...haina kuremba hyoUmeeleweka vilivyo ndugu.
Kuna mwanamke nilimtongoza-ga miaka imepita akanikataa, nilikuja kukutana naye baada ya miaka kibao kupita akanichangamkia pamoja na kuwa alinieleza kuwa ameolewa nilimfumua papuchi vilivyo kiasi akanogewa akawa mtumwa sasa, kila wakati alilazimika kusafiri kuileta siku nikambadilikia hakuamini hadi keshokutwa. Kila akinitafuta analalamika nilimwonjesha nikamuacha wakati bado ana uhitaji
Wakati mwingine tunayaona hayo kama yalivyo mtaani ndugu, inakuwa rahisi kuunganisha dots. Kama mleta mada anatuongopea atajua mwenyeweWengi manao mtetea mtoa mada hamjaskiliza upande wa pili.
Cc: mbalizi1, Extrovert, financial services
Haahahaaaa,tako halidanganyi mkuuUpande wa pili wa kazi gani mzee? Jamaa amekiri kuwa alipendekeza matako kama kigezo cha kumuoa huyo mwanamke sasa hapo kuna haja ya mjadala kweli ama hujui tabia za wanawake wenye matako na shepu nzuri zilivyo ukiwa huna kitu?
Mule muleKaka binaadamu ni kiumbe hatari kuliko hata wanyama wa porini. utamfanyia wema wa kila aina, ila siku mambo yake yakiharibika bado atataka na wewe uharibikiwe. Furaha yake inakua sio yeye mambo yake kukaa sawa ila furaha inakua wewe pia kuharibikiwa. Ukiuliza sababu hakuna majibu.
Mfano familia zetu hizi, pambana na hali yako unavyojua, wao watakusaidia kwa maneno tu "Dah jamaa unapambana kweli, ipo siku mungu atakufungulia we endelea kupambana tu na wala usikate tamaa". Sasa subiri mambo yakae kwenye mstari, mpaka ndugu wanageuka maadui bila sababu, utasikia "Jamaa anaringa sana siku hizi, yani toka mambo yamemkalia sawa haonekaniki na wala simu hapokei, jamaa ana asili ya roho mbaya sana, hata familia yao wana asili ya roho mbaya kuanzia bibi yao na babu yao, kwanza walikuaga wachawi kijijini, subiri mambo yaharibike ndio atakoma".