Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahah kumbe ni pisi yako mzeebabaKaka, acha basi kuingilia pisi za watu. Huyu anaonekana si mkimbiaji kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah kumbe ni pisi yako mzeebabaKaka, acha basi kuingilia pisi za watu. Huyu anaonekana si mkimbiaji kabisa.
Yes mkuu. Halaf watu wamefukua alivyokua anamnyanyasa mkewe na kusifia michepuko. Na ana kibamia pia ila mke alikua akimvumilia mpk kujichua ili ajiridhishe mbele yake. Anaplay victim tu. Ogopa sana teknolojia na Mungu. Na ni zaman kaanza. Na alikua anajisifia..na anagonga wake na madem wa washkaji zake qaliozidoana kipatoKwahyo mwamba kajazia nyama kwenye replies tofauti na alivyoeleza hapo juu?
Daah ntarud kusoma upya[emoji3][emoji3][emoji3]Yes mkuu. Halaf watu wamefukua alivyokua anamnyanyasa mkewe na kusifia michepuko. Na ana kibamia pia ila mke alikua akimvumilia mpk kujichua ili ajiridhishe mbele yake. Anaplay victim tu. Ogopa sana teknolojia na Mungu. Na ni zaman kaanza. Na alikua anajisifia..na anagonga wake na madem wa washkaji zake qaliozidoana kipato
Wenye moyo huo ni wakutafuta na tochiMbona tuupo wengi tu[emoji28][emoji28]
Ila tuwe tunaongea lugha moja. Nikavumilia nikaona unaendelea na ujinga nakuacha.
Rafiki yangu ameolewa. Mpambanaji mno. Mumewe pia alikua poa. Akafukuzwaga kazi. Mke akawa anaitunza familia kwa mwaka mzima. Yaan kutoka moyoni. Baada ya mwaka jamaa mambo yakarudi kwenye form maradufu. Friend wangu alikua na benz. Mumewe akamsuprise na matako ya nyani as a suprise na kumshukuru saana. Nawapenda mno aisee. Wanaume wazuri wapo na wanajua kuappreciate. Na rafiki yangu ni mzurii huyoo. Ana tako kubwa ila ana akili huyu[emoji23][emoji23] May God bless her everyday... namuombea ndoa yake iwe ya baraka bila kikomo
Yaan usome kwa utulivu kabisaa mkuu. Wanaume muache kuplay victims. Majority huwa hamsemagi ukweli juu ya mambo yenu ni kurusha lawama tu kwa wenza wenu. Jamaa aliketa mpk nyuzi humu za ubaharia wa jinsi ya kutumia bamia lake... anapiga za kibaba paroko kama mwijaku[emoji23][emoji23]Daah ntarud kusoma upya[emoji3][emoji3][emoji3]
Ni kweli kabisaa....Wenye moyo huo ni wakutafuta na tochi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yaan usome kwa utulivu kabisaa mkuu. Wanaume muache kuplay victims. Majority huwa hamsemagi ukweli juu ya mambo yenu ni kurusha lawama tu kwa wenza wenu. Jamaa aliketa mpk nyuzi humu za ubaharia wa jinsi ya kutumia bamia lake... anapiga za kibaba paroko kama mwijaku[emoji23][emoji23]
Mmebaki wachache sana, mungu akupe maisha marefu uendelee na moyo huo huoNi kweli kabisaa....
Aminaaaa. Nipate mume sasa na mimi.. akiwa na kibamia ajiheshimu kabla niivute iwe ndefu kama sikio la wale watu wa west africaMmebaki wachache sana, mungu akupe maisha marefu uendelee na moyo huo huo
shida yako ni elimu duniUsifanye maisha kuwa magumu we mpe pole kwanza ,nani ana makosa sio big deal wewe kujua maana haitaji upatanisho wako
mkuu kama nilivyosema siwezi judge kabla ya kusikia toka both sides, you never know hata huyu muleta mada alisafumaniwa na huyu ex wake, au huyu ex alikuwa na usahidi tosa huyu muleta mada alikuwa na mchepuko, mambo ni mengi sana mkuu, dont beleive eveything one saysKwa maoni yangu kile kitendo cha kwenda kwa mwanamme mwingine kama mwenye kuleta mada anasema kweli basi haya uliyosema sikubaliani nayo. Angesema anakwenda kupanga na kuendelea na maisha yake basi ningkubaliana na usemi wako huu.
wabongo wangapi wana hofu ya mungu siku hizi, hukuona maaskofu wachungaji wakumusangilie magufuri, huoni hata moja ya wanaojiita askofu aliibiwa kura na kuteuliwa na mukurugenzi kwa amri ya mweda zake, hofu ya mungu imetoweka hapa kwetu bongoAtakae kuwa na utetezi wa kijanjajanja mshindi hata kama ana kosa, kusuluhisha mahusiano ya watu ni kazi sana tuwaachie viongozi wa dini maana wakiwa mbele ya kiongozi wa dini hata hofu ya Mungu inawatanda
wewe kuwa unakuywa maziwa baada ya kuvuta ile sigara kubwa, nani amesema mimi nataka kuamua hii manenoHayo ni Mambo ya kisheria kumbuka hajaleta kesi kwako kuamua
pls try and control your emotions okayHapo ni kuwa unataka kuwapatanisha wewe mwanamke mpaka anaenda kuishi na mwanaume mwingine bado unaona hapo anahoja ya kukueleza ukaja na conclusion hata ukija kuisikia upande wake? never under the earth
vipi tena mkuuSasa wwe mwenzako mwanzo mwisho kaandika Kiswahili,wwe unamjibu na kiswanglishi, au ndiyo unataka kututisha sisi tulio soma shule za Kayumba!?
Unanijua ?shida yako ni elimu duni
Dada wa jana yupi tena?Huyu naye anatuzingua kama yule dada wa jana kumbe[emoji849][emoji849]
Pole Mkuu,Asalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla maisha yakabadilika nikaanza kupitia magumu kiuchumi hata jero mtihani kupata.
Balaa lilianza hapo kudharaulika, kununiwa, Visa vya kila aina mpaka hatimaye Mimi ndiye nikawa "mama wa nyumbani" na yeye akawa anarudi nyumbani ka guest house ni kulala tuu bila kujali hata watoto wanna hali gani.
Biashara nimemfungulia mwenyewe, na hata kodi nimekua nikimsaidia kulipa. Pamoja sasa Sina shughuli maalumu lakini Mungu ananisaidia kumudu kutimiza mahitaji muhimu ya familia yangu.
Sasa amepata mwanaume mwingine na amenidhibitishia na nilipohitaji aende kwao akapumzika akaniambia hawezi atabaki Dar aendeleze maisha yake kwakua anashida saana ya hela. Kumbe nia yake ni kuendelea kuishi na huyu mwanaume.
Leo nimedhibitisha. Ndoa yangu haitakuwepo tena baada ya kukamilisha taratibu za kisheria.
Roho inauma kwakua sikutegemea kama wanangu wataishi na mzazi mmoja.
Wanaume tutafute hela, ndo thamani yetu!
#Mwanamkemkwelinimamayakotuu