Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Tatizo ni kwanini walisubiri mpaka akafa akiwa huru!
Kwanini Mahakama haikupanga kusikiliza kesi ya Ditopile mwaka jana lakini wakasubiri hadi baadaye mwaka huu na ilipotangazwa siku ya kuanza kusikiliza kesi Ditopile akafa siku chache kabla. Kwanini walimuacha Ditopile afe akiwa mtu huru?
Even more... kwanini walimuache afe at all?