Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Status
Not open for further replies.
Tatizo ni kwanini walisubiri mpaka akafa akiwa huru!

Kwanini Mahakama haikupanga kusikiliza kesi ya Ditopile mwaka jana lakini wakasubiri hadi baadaye mwaka huu na ilipotangazwa siku ya kuanza kusikiliza kesi Ditopile akafa siku chache kabla. Kwanini walimuacha Ditopile afe akiwa mtu huru?

Even more... kwanini walimuache afe at all?
 
au Ditopile na yeye kauliwa kwa sumu? maana watu kwa kuosha vinywa mashaallah
 
Heshima kwenu wakuu,binafsi ningependa wana JF wanaoishi USA watupe reliable info kuhusu hizi habari za kifo cha bwana Balali,maana ukweli haujulikani ni upi, nadhani watu wqa USA wapo karibu na eneo la tukio sasa watupe hizo nyeti habari,maana serikali ya JK imeshindwa kutueleza ukweli,nasema hivyo kwa sababu huyu mtu ni mtuhumiwa katika wizi wa pesa zetu tulizo kuwa tunakatwa ktk mishahara yetu midogo,tafadhali

Watu wa US na familia ya marehemu wamesema kuwa hii habari ni ya kweli. Anwani ya makaburi alikozikwa Ballali na webisite yenye hizo habari vyote vimewekwa hapa.

Uthibitisho gani mwingine unahitajika zaidi?
 
Kwanini Mahakama haikupanga kusikiliza kesi ya Ditopile mwaka jana lakini wakasubiri hadi baadaye mwaka huu na ilipotangazwa siku ya kuanza kusikiliza kesi Ditopile akafa siku chache kabla. Kwanini walimuacha Ditopile afe akiwa mtu huru?

Even more... kwanini walimuache afe at all?

Mkjj, hii ni thread ya Balali.... Ama unaanza kutupa data za Balali (RIP) kwa kufanya reference ya Braza Dito (RIP)? Style yako kali..
 
Nataka Serikali yetu ndiyo itoe TAMKO kuwa masuala ya the late Ballali ni private na yasizungumziwe!
Hapo basi tutaacha kufanya hivyo...Ila ni baada ya KILA KITU KUWEKWA WAZI!

Hakuna serikali itakayokuzuia kuongelea mambo ya Ballali, unachoshauriwa hapa ni kuacha habari za uongo kama ulizoleta jana na za kichochezi kuwa Ballali ameuwawa na serikali ya ccm.
 
Watu wa US na familia ya marehemu wamesema kuwa hii habari ni ya kweli. Anwani ya makaburi alikozikwa Ballali na webisite yenye hizo habari vyote vimewekwa hapa.

Uthibitisho gani mwingine unahitajika zaidi?
picha za kwenye mazishi na mwili wake ukiwa ndani ya jeneza
 
Kwanini Mahakama haikupanga kusikiliza kesi ya Ditopile mwaka jana lakini wakasubiri hadi baadaye mwaka huu na ilipotangazwa siku ya kuanza kusikiliza kesi Ditopile akafa siku chache kabla. Kwanini walimuacha Ditopile afe akiwa mtu huru?

Even more... kwanini walimuache afe at all?

Mwanakijiji naomba unijibu hili swali bila spin
NANI ALIKUWA SUSPECT NUMBER ONE KWENYE SAKATA LA EPA?
 
Wewe Masaka umetumwa? Huna uchungu na maendeleo inaonyesha,yaani huoni kama kama kuna mazingira ya kutatanisha juu ya kifo cha Balali? kama huoni hilo basi kuna kitu
 
Kada,

Join the ranks.. karibu sana kundini kwi kwi kwi

Huyu Mushi amejiabiisha sana jana alivyoanza kuleta habari za uongo hapa JF. Mimi naona yeye ndiye anania ya kuharibu sifa ya hii forum maana sasa hii inatisha.

Amejaza udaku tupu na maneno ya uongo na uzushi. Anajifanya kuwa ana uchungu na Tanzania na wakati huo hafanyi chochote kile kuleta habari za kweli. Yeye anauliza tu maswali ya kichochezi hapa wakati hana majibu na hafanyi chochote kutafuta majibu. Hivi kweli mtu mwenye ubinadamu unaweza kuuliza swali kuhusu magonjwa ya Ballali hapa?
 
Mushi,

There has never been a suspect so far. Kama ni watuhumiwa kila aliyehusika kuanzia BOT, Hazina, Ikulu na wafnyabiashara hakuna hata mmoja ambaye ametajwa kuwa ni mtuhumiwa au anachunguzwa.

Until serikali (CCM) ikubali kuanzisha kesi kwanza kwa kukamata watu wote wahusika, kisha waombe continuence wakisubiri uchunguzi ukamilike, bado hatuna suspect!

Sorry but that is the blunt truth!
 
Naomba jibu la suspect namba moja wa scandal ya EPA ni nani.
 
Huyu Mushi amejiabiisha sana jana alivyoanza kuleta habari za uongo hapa JF. Mimi naona yeye ndiye anania ya kuharibu sifa ya hii forum maana sasa hii inatisha.

Amejaza udaku tupu na maneno ya uongo na uzushi. Anajifanya kuwa ana uchungu na Tanzania na wakati huo hafanyi chochote kile kuleta habari za kweli. Yeye anauliza tu maswali ya kichochezi hapa wakati hana majibu na hafanyi chochote kutafuta majibu. Hivi kweli mtu mwenye ubinadamu unaweza kuuliza swali kuhusu magonjwa ya Ballali hapa?

si ndoo demokrasia. tusubiri kuulizwa na watoto wetu baba mama ulimtongozea wapi na lini, kazi sio ndogo
 
Mushi,

There has never been a suspect so far. Kama ni watuhumiwa kila aliyehusika kuanzia BOT, Hazina, Ikulu na wafnyabiashara hakuna hata mmoja ambaye ametajwa kuwa ni mtuhumiwa au anachunguzwa.

Until serikali (CCM) ikubali kuanzisha kesi kwanza kwa kukamata watu wote wahusika, kisha waombe continuence wakisubiri uchunguzi ukamilike, bado hatuna suspect!

Sorry but that is the blunt truth!

Halah!
KUMBE HATA SUSPECTS HAKUNA?
Kwa hiyo Serikali haina cha kujibu hapo?
 
Wewe Masaka umetumwa? Huna uchungu na maendeleo inaonyesha,yaani huoni kama kama kuna mazingira ya kutatanisha juu ya kifo cha Balali? kama huoni hilo basi kuna kitu

Kocha mimi sijatumwa,

Ninashauri tu watu waache siasa za kupakana matope bila kuwa na ushahidi.
 
Hakuna Suspect number moja, kwani wewe unamjua huyo suspect number moja?

Kama hakuna suspect namba moja huo uchunguzi ni wa aina gani huo wa kina mwema?
Ni wa kutafuta habari kutoka wapi?
Habari za uchunguzi hazikuzingatia ushahidi wa Boss Mkuu wa chombo kilichotuibia mabilioni?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom