Hatimaye nimepata tulizo la moyo wangu (mpenzi/mahabuba) ndani Jamii forums

Namuona mzee wa dislike naye yumo humu katika ubora wake...
 
[emoji15][emoji15] jamani mpk kamati ishaundwa na mwenyewe taarifa sina!!!? Haya michango iingie kwenye namba za bi harusi mtarajiwa.

Kiwango cha chini cha kamati kianzie laki 5 [emoji12]
 
Kuna kapo humu ziliwahi kuvuma sana. Mpaka zikawa zinatagiana katika kila posti lakini nazo zilipita.

Nikiwa kama mwakilishi wa timu roho mbaya ya Wabongo nasema hivi na wewe na huyo kyuti waifu wako mtaachana tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

View attachment 2628497
😂😂😀Mpwa salama
 
[emoji15][emoji15] jamani mpk kamati ishaundwa na mwenyewe taarifa sina!!!? Haya michango iingie kwenye namba za bi harusi mtarajiwa.

Kiwango cha chini cha kamati kianzie laki 5 [emoji12]
Uduguuu MC wak niko hapaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Ni vizuri na ni bora zaidi kuuachia ulimwengu ndio ukutangazie penzi lako kwa ulimwengu wenyewe na kwa Walimwengu,,,na Sisi wewe kuutangazia ulimwengu na Walimwengu penzi lako""Na hii si kwenye pendo tuu bali hata kwenye mambo yako mengine ya kimaisha sawa Broo!!Nikutakie kheri na afya ya mifupa,,damu na nyama kwenye penzi lako na maisha yako kiujumla!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mc km Mc hakikisha unanipamba sana siku hiyo mpk upande wa bwana harusi waniogope wasinichukulie powa!

Sema bwana harusi ataniharibia watoto ana sura ngumu jamani najitahidi kumuelewa nashindwa hivyo mwenzenu [emoji119]
 
"Ni vizuri na ni bora zaidi kuuachia ulimwengu ndio ukutangazie penzi lako kwa ulimwengu wenyewe na kwa Walimwengu,,,na Sisi wewe kuutangazia ulimwengu na Walimwengu penzi lako""Na hii si kwenye pendo tuu bali hata kwenye mambo yako mengine ya kimaisha sawa Broo!!Nikutakie kheri na afya ya mifupa,,damu na nyama kwenye penzi lako na maisha yako kiujumla!!

Wajomba wa mume mshaanza chokochoko [emoji1787]
Mpwa wako kanielewa hapa hachomoi na mtake msitake mie ndio mkazwa mkwe wenu hivyo [emoji1787][emoji1787]
 
Namuona mzee wa dislike naye yumo humu katika ubora wake...

Huyu atakuwa kamati ya mapokezi kukagua kadi na mjiandae kupewa dislike ata km mlichangia mchango wa kamati [emoji1787]
 
Back
Top Bottom