Tatizo hauandiki kwa kirefu. JWTZ wamemfanyaje Maza?
hakuna chama bora afrika nzima zaidi ya ccmChama kimetoka kwny misingi yake ni bora kitupishe tuanze upya shukurani kubwa kwao ni uhuru tu mengine yote ni uhalo mtupu
Watafunga wangapi? Ukiona huyu ameibuka na kusema, 'Ninajitoa mhanga' ina maana kuna wengi nyuma yake.Kama kweli ni mwanajeshi huyu atakamatwa na kufungwa.
Just a matter of time.
Huyu Mwanajeshi hayuko peke yake. Ni wazi kuna kundi kubwa nyuma yake.This is very serious. Please God have mercy on us Tanzanians
Murilo hutokaa umsikie katika hili. Hapo kwanza haelewi kama anaota ni usiku ama ni mchanaHuwa sielewi namna zao za kufikiria.
Wanawaonaje wananchi wa hii nchi kwamfano
Siku hizi mkuu upo kwenye circle?Huo ni uhaini huo.
Watamfunga huyu kama ni mwanajeshi kweli.
We wanakutafuna asee!!hakuna chama bora afrika nzima zaidi ya ccm
Huyo ni kama mwijaku, akipewa vijisenti anaanza kufuata upepo.Siku hizi mkuu upo kwenye circle?
Atakuwa ameshajinyea huyoMurilo hutokaa umsikie katika hili. Hapo kwanza haelewi kama anaota ni usiku ama ni mchana
si hii apa list: #10 dunianiWe wanakutafuna asee!!
Maamaaeeehakuna chama bora afrika nzima zaidi ya ccm
list hii apa: #10 dunianiMaamaaeee
Kafie mbele hukolist hii apa: #10 duniani
😂 😂 kaa tulia ccm haiwezi toka leo wala kesho tafuta tu issue zingine zaa kufanyaKafie mbele huko
Aiseee!hata apa mtu
Kasema ukweli na uwazi utaponya, sasa mbona unaficha ukweli huo? kauli ipi?Kuna kauli moja ameongea huyu kijana katika hiyo video nimeitathmini nimegundua kitu kikubwa sana.
Acha uongo we jamaa unatembea na upepo.Keep going JWTZ
Britanicca