Hatimaye picha kutoka James Web telescope zimetolewa rasmi kwa umma

Kama huo mwanga umetravel 4.5 light billion years! Je kuna uwezekano baadhi ya stars zimeshakua dwarfs, na nyingine zimekufa na nyingine zimezaliwa? Bdo tuna safari ndefu sana!
 
Hivi hii speed ilipimwaje mpaka ikapatikana hii thamani ?

Hii miaka billion 4.5 waliijuaje ? Naomba ufafanuzi kidogo nipate kuelewa.
Hiyo speed ilipimwa before French revolution. Cassini aliobserve irregularities kwa eclipse ya mwezi mmoja wa jupiter ile hygiène ndio aliobserve tena akapata majibu yale yale ila wakaangalia zaidi wakagundua hiyo tofauti huwa unatokana kipindi dunia inapokuwa mbali na jupiter. So mwanga pia unatumia muda kusafiri maana zamani idea ilikua speed ya mwanga ni infinity. So kama walipata time ya mwanga kutoka jupiter kufika duniani na umbali wa jupita kutoka duniani unajulikana ndio hapo walipopata speed ya mwanga
 
Sasa unataka sema ni uongo au..
 
Huwezi kuona hata cha leo hata jua tuu unaloliona ni jinsi lilivyo dakika 8 zilizopita kitu pekee unacho weza ona now ni mtu aliye karibu yako [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una kubali kwamba Sayansi haijawahi kuthibitisha juu ya hizi nadharia ulizo ziandika hapa ? Mfano wewe unaweza kunithibitishia ya kuwa Dunia inazunguka ?

Jua linazunguka au linatembea ?
We umelewa au ni muumini wa dunia ni tambarare
 
Make kwanza hapo ncheke. Kasome tena kuna vitu umeandika havieleweki
 
Mtoa mada....

Kwa uelewa wangu hiyo light years hutumika kupima distance na sio umri wa kitu husika

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Una kubali kwamba Sayansi haijawahi kuthibitisha juu ya hizi nadharia ulizo ziandika hapa ? Mfano wewe unaweza kunithibitishia ya kuwa Dunia inazunguka ?

Jua linazunguka au linatembea ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe unawezaje kujua mwezi uliwahi kupasuka katikaki kisha ukarudi ulivyokuwa??
Mimi huwa najiuliza hivi mnawezaje kutofautisha hizi picha na picha za kutengeneza ? Yaani mnajuaje kama hizi ni picha halisi na siyo za kutengeneza ? Au huwa mnapenda kuona kuliko kujadili ?
 
Kama huo mwanga umetravel 4.5 light billion years! Je kuna uwezekano baadhi ya stars zimeshakua dwarfs, na nyingine zimekufa na nyingine zimezaliwa? Bdo tuna safari ndefu sana!
Ndo ilivyo mkuu. Kuna star zilisha potea zamani sana tu
 
Wewe ulihakiki mwezi kupasuka katikati vipande viwili na kujirudia? Uliwahi kuhakiki kuna mbingu saba na kuna amefika huko mbinguni kwa farasi ??
 
Sidhani kama hata anafahamu electromagnetic spectrum ni nini. Hapo unapoteza muda bure tu.
 
Uko sahihi, huyu msomi wa elimu akhera anaharibu huu uzi tu hapa.
 
Kwahiyo hutaki kabisa rikiboy na nduguze wasogelee huu uzi??

Ila hawa jamaa wako mbali sana aisee.

Hivi si wanasemaga china na Russia wako mbali nao kiteknolojia mbona huwa sioni machapisho yao kuhusu anga za mbali!?
Sio wajinga kirahisi hivyo watoe siriii
Wanafanya kimya kimya hao wanaojionesha wanafanya ili kuwatisha wengine nakuwaaminisha watu kama wana Technology ya hali ya juu wakati hiyo NASA hata kwa Elon Musk to hawatii mguu
 
Wewe Mrusi wa Buza ungeenda kwenye uzi wa propaganda za Russia na conspiracies au usome mambo hapa yaliyozidi akili yako kwa utulivu.
Ila NASA sio wa kuwaamini Sana,
Ile picha Yao ya mtu wa kwanza kutua mwezini inaacha walakini sana[emoji848]
 
Fanya hivi, leteni hizo taarifa za space za Russia kutoka RT tuzijadili hapa.
 
Nikama haiingii akilini hivi huko kutakuwa mbali kiasi gani kwa speed hii ya mwanga mpak ichukue miak 4.5B?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…