Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo speed ilipimwa before French revolution. Cassini aliobserve irregularities kwa eclipse ya mwezi mmoja wa jupiter ile hygiène ndio aliobserve tena akapata majibu yale yale ila wakaangalia zaidi wakagundua hiyo tofauti huwa unatokana kipindi dunia inapokuwa mbali na jupiter. So mwanga pia unatumia muda kusafiri maana zamani idea ilikua speed ya mwanga ni infinity. So kama walipata time ya mwanga kutoka jupiter kufika duniani na umbali wa jupita kutoka duniani unajulikana ndio hapo walipopata speed ya mwangaHivi hii speed ilipimwaje mpaka ikapatikana hii thamani ?
Hii miaka billion 4.5 waliijuaje ? Naomba ufafanuzi kidogo nipate kuelewa.
Sasa unataka sema ni uongo au..Shida ya Sayansi ipo katika kukufanya uujue ukweli au kukupeleka katika kuujua ukweli, hapa ndipo kuna mauza uza ya Sayansi.
Maana imewasilishwa, sijaona hata mmoja akihoji kuhusu au juu ya ukweli wa hizo habari. Lakini kwa maendeleo ya sasa katika usawirishaji wa mambo watu kutengeneza picha kama hizo wanaweza sana. Sasa tunapoletewa habari kama hizi watu wanatakiwa waumize akili na kufikiri na kuhoji, kinyume na hapo tutishi miaka yote tukiamini mambo ya uongo na uzandiki tu.
Huwezi kuona hata cha leo hata jua tuu unaloliona ni jinsi lilivyo dakika 8 zilizopita kitu pekee unacho weza ona now ni mtu aliye karibu yako [emoji23][emoji23][emoji23]Hapa sijakuelewa mtoa mada, ufafanuzi tafadhali. Hapo zinavyo onekana ndiyo ndivyo zilivyokuwa miaka 4.5billion sasa nikitaka kuona zilivyo leo hii nafanyaje au nasubiri tena miaka 4.5billion ijayo ?
Lakini jambo hili linawezekana vipi ? Kwa hiki ulichokiandika.
Hili linawezekana vipi ? Hivi mfano wewe ukitaka kujua miaka 300 hali ilivyo kuwa ni lazima utumie hiki kifaa au upate taarifa kutoka kwenye the "Primary Source" ?
Hapa akili zetu zinatakiwa zitumike vizuri. Yaani unawezaje kujua hali ya dunia kutokea au kuwepo pasi na kuwa na taarifa za walio shuhudia tukio hilo ?
Wanasayansi kuna muda wanakuwa hawaeleweki kabisa, au mimi ndiyo siwaelewi ?
We umelewa au ni muumini wa dunia ni tambarareUna kubali kwamba Sayansi haijawahi kuthibitisha juu ya hizi nadharia ulizo ziandika hapa ? Mfano wewe unaweza kunithibitishia ya kuwa Dunia inazunguka ?
Jua linazunguka au linatembea ?
Make kwanza hapo ncheke. Kasome tena kuna vitu umeandika havielewekiMilk way galaxy mkuu Ni mkusanyiko wa hizi sayari zetu Tisa ama kumi,Sasa hizi sayari zote zinazunguka jua ama Zina mfumo wao wa jua hili hili linalotumulika,Sasa vile vile Kuna galaxy kibao huko angani zikiwa na sayari Kama hizi za mfumo wetu. Galaxy Ni jina la mkusanyiko wa sayari zikiwa na jua lake ama tochi. Galaxy inazunguka inaenda wapi.
Ila unaambiwa beyond our solar system ambayo ndio hii milk way galaxy ya kwetu is the endless space extending in all space.
Hii sentence ya mwisho ilinifanya nikiri Kuwa Mungu yupo mkuu. Yaani iyo endless space mpaka niliogopa na sie hapa tupo angani tunaelea elea tu Ila hatuanguki
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi na nyinyi tunatofautiana sehemu moja, mimi nataka kujua kwanini hizo namba zimekuwa hivyo vilivyo, na nyinyi mnafurahia hesabu mnazowekewa.
Mimi kwanza kabisa unatakiwa uthibitishe ukweli usio na shaka juu ya "Big Bang Theory" au "Big Bang Models"
Aliens ni nani ? Na kwanini Aliens ? Kwanini usiandike chukulia wewe ndiyo upo katila hiyo Nyota fulani ?
Nachotaka mimi unipe hesabu zako pasi na kuwepo "Assumptions" yoyote katika hesabu husika, huo mwendo kasi wa mwanga umepatikana vipi ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hakuna sharti popote pale linalosema ya kuwa kutoa ushauri mpaka uombwe, bali unaweza kutoa ushauri kwa mtu ambaye haoni haja ya kupewa ushauri, sisi tunasema unamsaidia yule aliye ghafilika tena tunaita "SADAKA".
Kwangu somo la hesabu halijawahi kuwa gumu, na ninacho kiandika hata wakubwa zako walikiona ndiyo maana wakakificha katika msitu wa "Assumptions" kwangu sijawahi kuona hesabu ngumu, kuzidi kuing'amua kesho yangu inakuwaje.
Huenda nina zijua hesabu za kukukokotoa kukuzidi wewe. Sababu sipo hapa kujifaragua na ujuzi fulani au kujua kitu fulani, bali nipo hapa kuwaamsha usingizini. Vijana mmelala fofo, tena mmelala usingizi wa pono.
Nikashangaa leo hii mtu anajadili kuhusu "Big Bang Theory" nadharia mfu ambayo baadhi ya Wanasayansi wanashauri itizamwe upya, mko wapi na elimu na kuihakiki ?
Naona hizi ni dalili za kushindwa kukosoa hoja zangu kielimu. Hizo siyo mada zangu ndiyo maana niko hapa muda huu, hii mijadala sijaanza leo humu jamii forum. Katika mada nyepesi kwangu mimi ni hizi, ambazo nyinyi mnaziona zinahitaji akili kubwa. Sasa sijui akili gani kubwa unaitaja wewe ambayo imekushinda kuujua ukweli uliofichwa kwenye "Assumptions".
Hii field si halisi zaidi ya nadharia za kifalsafa. Vingi tu havipo katika mitaala ni vya uongo mfano wa hivi, jiulize huenda walijua ya kuwa wakiweka haya uongo wao utabainika kiurahisi sana.
Sasa si ndiyo ujibu maswali yangu kwa ufasaha, ili uonyeshe ukweli wa hiki unachokijadili ?
Mimi huwa najiuliza hivi mnawezaje kutofautisha hizi picha na picha za kutengeneza ? Yaani mnajuaje kama hizi ni picha halisi na siyo za kutengeneza ? Au huwa mnapenda kuona kuliko kujadili ?
Ndo ilivyo mkuu. Kuna star zilisha potea zamani sana tuKama huo mwanga umetravel 4.5 light billion years! Je kuna uwezekano baadhi ya stars zimeshakua dwarfs, na nyingine zimekufa na nyingine zimezaliwa? Bdo tuna safari ndefu sana!
Shida yenu haya mambo hamuyahakiki, na mimi najua kwanini hamfanyi hivyo.
Tuanze kwanza kujua ukweli wa hiyo miaka 4.5billion.
Unaweza kunithibitishia ya kuwa ulimwengu unatanuka kwa huo mwendo mkali sana ? Nani alithibitisha hili na ushabidi uko wapi ?
Unathibitishaje ukweli ya kuwa huo mwanga ulitoka miaka hiyo ? Swali langu bado hujalijibu, bali unanipa maelezo ambayo ili ukweli wake uwe yanahitaji uthibitisho.
Unakubali kama maelezo yako hayajakaa Kisayansi kama Sayansi inavyo jinasibu bali yamekaa kifalsafa zaidi ?
Kwanza kabla ya ufafanuzi na kukujibu swali lako unatakiwa akili yako ui switch iwe kama ya mtoto ili uwe egoless kuweza kuruhusu ubongo wako kupokea maarifa mapya.
Hii field inahitaji akili kubwa ndo maana huwezi ikuta kwenye vijiwe vya kahawa.
Sasa narudi kwenye swali lako.
Kwanza unapaswa kufahamu kuwa binadamu anaona sehemu ndogo sana ya waves za electromagnetic spectrum inaitwa visible light.
Sasa nikufahamishe kuwa binadamu anapna sehemu ndogo sana ya kilichoko kwenye universe.
Mfano mdogo ni internet mawimbi ya radio huwa hatuyaoni ila yanasafiri from 1 point to another point.
Tukiongea kwenye simu mawimbi yanasafiri hivyo hivyo lakini macho yetu hayana uwezo wa kuyaona.
Matukio yaliyokwisha kupita hatuwezi kuyaona kwa macho coz ni mid infrared katika electromagnetic spectrum. Kwa sababu hiyo JWST hutumia camera ambayo ina uwezo wa kunasa picha katika mid infrared light na yanapotumwa duniani kuna program hutumika kuweza kuzi coloring ili ziweze kuwa visible kwa binadamu kwani binadamu ana uwezo wa ku detect rangi tatu tu ambazo ni red, green, and blue.
![]()
Introduction to the Electromagnetic Spectrum - NASA Science
Electromagnetic energy travels in waves and spans a broad spectrum from very long radio waves to very short gamma rays. The human eye can only detect only ascience.nasa.gov
Je kwa faida ya wasomaji ni aina gani ya technology hutumika kuweza kufanya photo colorize?
Naomba uitazame vizuri hii video imeeleza vizuri na kwa mifano halisi!.
Nasa wanaelezea hapa namna ambavyo hufanya photo colorize
Creating Color Pictures Using Images From NASA's WISE Mission | Science Mission Directorate
This guide provides instructions on how to make color pictures using images downloaded from the WISE archive.science.nasa.gov
Kisai huwa hupaswi kutoa ushauri kama haujaombwa ushauri..hicho tunaita kujipendekeza. Wewe kama unaona hizi hesabu ni ngumu kwa kichwa chako achana nazo zitakuua. Ziko mada mbalimbali ambazo unaona zinawezekana unaweza kutia nguvu na akili yako huko kuna mada nzuri za michezo, kuna udaku kuna vitu vingi sana ambavyo unaweza peleka ushauri wako huko na ukafanyiwa kazi. Hii field ya astrophysics waachie walioko interested waendelew kishare knowledge zao kwani ni aina ya elimu ambayo haipo katika curriculum zetu.
Hapa hauulizi maswali ili ufahamu ila unauliza maswali ili wakati tayari kichwa chako kina majibu yake.
Sio wajinga kirahisi hivyo watoe siriiiKwahiyo hutaki kabisa rikiboy na nduguze wasogelee huu uzi??
Ila hawa jamaa wako mbali sana aisee.
Hivi si wanasemaga china na Russia wako mbali nao kiteknolojia mbona huwa sioni machapisho yao kuhusu anga za mbali!?
Ila NASA sio wa kuwaamini Sana,
Ile picha Yao ya mtu wa kwanza kutua mwezini inaacha walakini sana[emoji848]
China na Russia wanafanya Sana,
Na juz Russia katuma chombo Tena anga za juu.
Ila Kwasababu tumetawaliwa na Western media, ambazo Ni mahasimu wakubwa wa China na Russia.
Basi habarnkama hizo hawawezi kukutana maana itakua Ni kuwapa kick mahasimu wake.
Kwa Sasa,
Media zinatuchagulia kipi tusikie, kipi tusisikie[emoji4]
Nikama haiingii akilini hivi huko kutakuwa mbali kiasi gani kwa speed hii ya mwanga mpak ichukue miak 4.5B?!Mkuu ipo hivi, ili ww uweze kuona ni lazima mwanga wa kitu unachokusudia kukiona ukufikie na kutua kwenye retina ya jicho lako. Kwahio kitu kikiwa karibu, macho yako yatakiona ndani ya muda mfupi zaidi.
Na speed ya mwanga ni 3x10^8
Hii ni speed kubwa sana, mpka sasa hakuna kitu kingine chenye speed kubwa kushinda mwanga (light)
Sasa ukiambiwa galaxy ipo 4.5 billion light years, maana yake ile mwanga tunaouona hapa kuwakilisha hio galaxy mwanga huo ulitoka kwenye galaxy hio miaka billion 4.5 iliyopita. Kwahio ukitaka kujua umbali chukua miaka hio zidisha kwa speed ya mwanga, ambayo ni 3x10 ^8 huo ndio utakua umbali kwa mita au klm.
Asante. [emoji120]