SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Chini ya Kikwete mbona hatukuona sherehe za ndege mpya?
Weekend tena wakati vitu vilishakua tayari kichwani πTTCL tena?
Nchi pendwa
Suala la kufufua ATC lilianzia kwa kikwete,ni kama bwawa la rufiji,fly overs dar,njia nne Hadi kibahambona kama habari inasema ni za wakati wa raisi kikwete? Na hakuna uhusiano na ndege zilizonunuliwa post uraisi wa raisi kikwete? au kuna kitu sijakielewa kwenye hiiyo habari?
Suala la kufufua ATC lilianzia kwa kikwete,ni kama bwawa la rufiji,fly overs dar,njia nne Hadi kibaha
Uelewa unatia mashaka!Kwahiyo kumbe tulipigwa fix kwamba ndege zote ni zetu, kumbuka kila ndege iliyokuja tulifanya maandamano pale Airport.
weww x
halinaga akili ni yale mazee yanayosubiriaga kuhongwa yaandike lina mtindio wa ubongo ukiwa mwalimu unafundisha majinga haya unayaua tu
Na ziliombewa na kina Mzee wa Upako.Kwahiyo kumbe tulipigwa fix kwamba ndege zote ni zetu, kumbuka kila ndege iliyokuja tulifanya maandamano pale Airport.
Mgao wa umeme nautia akilini 1991,mkapa akaleta net group solutions,waka-manage vibaya mabwawa,kufika 2006 Hali mbaya,udom ilianza na jengo la chimwaga,2006,baadae ndiyo yakajengwa majengo mengine taratibu,hakijakamilika mpaka leonakubaliana na wewe 100%, labda umesahau na mgao wa umeme pia kwenye orodha yako, raisi kikwete alijenga pia udom na mengineyo mengi kama siyo yote β¦
Amesoma ameelewa hapa anafanya makusudi kujionesha Kama hajaelewa.Ndege zote za bombardier alizonunua Hayati Magufuli ni dash 8 -Q400. Ambazo ni model mpya ya iyo Q300 ambayo imekwama kule Malta.
Tuwe tunaelewa haya mambo ndugu zanguni kabla ya kuleta mada humu.
liambie lijinga lqko kukurupukakurupukaJiue wewe kwanza. Tatizo lako umeweka hisia mbele kuliko uhalisia. Unatamani kuua mtu kisa tu anapingana na wewe hapana kabisa.
Kitu kama yeye alikuwa hakijui anadhani ilikuwa siri kumbe yeye ndiyo hakuwa na taarifa au uelewa wa hicho kitu.Hakuna siri hapo!
Awamu ya nne ATCL ilikuwa na ndege za kukodi na ilikuwa wazi.
Ile kesi ya David Mataka pale Kisutu ilihusu upigaji kwenye huo ukodishaji uliopelekea serikali kupata hasara ya 71B.
Maelezo ya awali na haya ya sasa yanakinzana , kwanini ?Maelezo yako vizuri, sijui umeshindwa nini kuelewa hapo
Hizi nyuzi hatuzileti kibwege kama unavyodhaniKitu kama yeye alikuwa hakijui anadhani ilikuwa siri kumbe yeye ndiyo hakuwa na taarifa au uelewa wa hicho kitu.
Ukiingia mitandaoni zipo taarifa kibao za kukodi hizo ndege na mbia aliyehusika.
ππππ Sasa Mkuu hapo unanilinganishaje na Mwijaku mwenye ghorofa jipya wakati mi nyumba yangu ya Tandika haina hata uzio ?Amesoma ameelewa hapa anafanya makusudi kujionesha Kama hajaelewa.
Anataka kuwashughulisha ATCL na habari za mitandaoni wakosee kitu apate kuongea zaidi.
Hizi ndizo siasa mfu za watu wanaotaka tuwape ridhaa ya kutuongoza.
Huyo ni msomi kabisa jiulize elimu yetu inatupeleka wapi Kama Taifa.
Anajaribu kutafuta kitu cha kumlaumu Magufuli ambaye ni marehemu Sasa, hivyo haitamsaidia mleta lawama wala chama chake kuingia madarakani.
Msomi alitakiwa aoneshe udhaifu wa utetezi upo wapi kwenye hiyo taarifa ya ATCL, siyo kusema tu dhaifu kulingana na hisia zake binafsi.
Huyu Erythrocyte ni miongoni mwa vijana hopeless kabisa.
Hana tofauti na akina Mwijaku. Wote chawa sema wanatofautiana vyama na mabosi wao wa kuwafanyia kazi za kichawa.