Mbwa yule alinikosakosa kunipiga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado yule wa vitu vya electronics anajifanya yupo Zanzibar ana accounts Instagram zaidi ya 10 na anafanya promo kila siku.
Juzi niliona ya vyombo ni yake ni tapeli mshenzi sana.
😂😂Utasikia nipo wete ,jamaa ana accounts zaidi ya 10 .Mbwa yule alinikosakosa kunipiga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yupo nje ya nchi alitaka kwa ajili ya ujenzi bongo sahihi aliona ni hizi agency sema tu aliwrong direction mbona yako makampuni brand ya viwanja Sio wababaishafi ,tumenunua huko mfano Blackwood, Makazi investment nkYaani unatoa pesa kidochi kidochi hadi inafika 60M ili ununue kiwanja!!??
Poleni sana ila ukiishi na akili ya kutomuamini mtu utasalimika na mengi.
Kivipi wakati kuna legal document kupitia wanasheria na anafanya kwa miongozo ya usajili wa makampuni plus miongozo ya wizara ya Ardhi ambayo hizi private company ni agency na zipo regulated na wizara.Hukuna criminality hapo mkuu yupo sahihi, otherwise police wafanye falsefiction kuwalinda mliotapeliwa lakin kimsingi hakuna kesi hapo, otherwise civil case ipo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hivi unajuwa wizi wa kuaminiwa au unajifurahisha tu?Hukuna criminality hapo mkuu yupo sahihi, otherwise police wafanye falsefiction kuwalinda mliotapeliwa lakin kimsingi hakuna kesi hapo, otherwise civil case ipo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huu ni utawala dhalimu, mwenye pesa ndio mwenye hakiHatari sana na hatafungwa cha ajabu
Akili na maarifa binafsi ya mtu hayatokani na kazi au wadhifa wa mtu.Sifa za mtu anayetapeliwa ni zile zile.Wanapigwa viongozi, wengin usalama wengine maafisa wa jeshi,ikulu haya mambo ni hadi yakukute.
Unakuta mtu kachukua beach plot kigamboni sqr 900 au 1200, potential area kachukua viwanja 4.
Kama ni kweli huyu inatakiwa mtu a-deal naye. Unamalizana naye mtaani. Kesho yake unakuta magazeti yameandika ''marehemu alikuwa amevaa tisheti ya kijani na suruali nyeusi''.Wanapigwa viongozi, wengin usalama wengine maafisa wa jeshi,ikulu haya mambo ni hadi yakukute.
Unakuta mtu kachukua beach plot kigamboni sqr 900 au 1200, potential area kachukua viwanja 4.
Shangaa na weweNashangaaga sana eti hata yule Changu dowa aliyezaa na Sugu naye kuna mazezeta yanamtumia pesa awaagizie vitu Uturuki hapo Mimi ndio huwa nashindwa kuelewa.
Hivi mgonjwa wa akili kama Faiza anakutapeli vipi pesa kama wewe una akili timamu.
Tatizo kubwa wengi hamuelewi hili swala la viwanja ujambazi namba moja wameanzisha serikali wenyewe.
Halmashauri inaweza kutangaza kuuza viwanja kwa kukusanya fee ya sh 20,000/= kwa kila fomu halafu hakuna anayeuziwa kiwanja na serikali inadhurumu pesa za watu.
Sasa na magenius wameiona fursa unakodi ofisi nzuri unalipia kodi ya miezi 6, unatafuta wadada 6 waliomaliza Chuo hawana deal unawaweka ofisini kazi yao kukusanya risiti za malipo ya bank wewe mpunga unajaa tu kwenye account.
Ukiona mtu anaishi hotelini miaka yote muogope sana.
Sasa hivi Mahakama zimeaanza kujirekebisha haki itatendeka wala msijali!!Hatari sana na hatafungwa cha ajabu
Matapeli wa viwanja kama huyo hata wakati wa Magufuli walikuwa wanatamba....Huu ni utawala dhalimu, mwenye pesa ndio mwenye haki
Kuna watu kwenye pesa Mungu anawekwa pembeni, Binaadamu ni kiumbe hatari sana!!Duhhhh..watu hawaogopi Mungu
Kila mtu ujiandalia kifo chake ishu ni mbili mapenzi au dhulumaKama ni kweli huyu inatakiwa mtu a-deal naye. Unamalizana naye mtaani. Kesho yake unakuta magazeti yameandika ''marehemu alikuwa amevaa tisheti ya kijani na suruali nyeusi''.