Hatimaye Uingereza imemaliza kutoa raia wake Tanzania leo

Hatimaye Uingereza imemaliza kutoa raia wake Tanzania leo

Dah sasa hawa kama wameondoka hao watalii wankujaje? maan nilidhani hawa ndio wangetoa hali halisi ya covid na kuwaconvince watalii waje. mburaaaa
Ni fully comedy

In God we Trust
 
Ingizo jipya la chakubanga
Nilijua mleta Uzi naye mwingereza kumbe mzaramo wa kimbiji. Acha kila mtu awe kwao. Jamaa hawajakumbuka kuwachukua watetezi wao machadema.

In God we Trust
 
G Sam, hapo roho yako umefarajika!

Tuwatakie maisha mema huko kwao wasije kuambukizwa. Na ikiwezekana wafunge kabisa Ubalozi wao wasirudi tena. Watatumia Ubalozi wao ulioko Kenya kwa masuala ya Tanzania.
Nani atawajazia bakuli lenu?

In God we Trust
 
Ni sawa tu kweni nini?hata sisi tulifata wa kwetu India walikua 200
Leo raia wapatao 200 wameondoka Tanzania kurudi Uingereza ikiwa ni kundi la mwisho la raia hao kuondoka.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Leo raia wapatao 200 wameondoka Tanzania kurudi Uingereza ikiwa ni kundi la mwisho la raia hao kuondoka.
Vizuri.
Wanawaomdoa hata nchi zingine wale wanaoamua kurudi. Kuna wengine wanaamua kubaki walipo! Sio lazima.
263372E6-25C4-46ED-B491-5C5BA4A1C6E8.jpeg
 
Acha waende kwao, wametuachia watanzania uwanja mpana wa KUITOKOMEZA CHADEMA NA UPINZANI UCHWARA KWA UJUMLA!
 
Back
Top Bottom