Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
China yeye kampuni za wenzie anaziwekea vizingiti kibao kupata soko la ndani mwake lakini anataka awe huru kuwekeza kwa wenzie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alianzaje ???
Mbona sisi watu weusi hatujaiba mkuu?Kutumia raia wake walioajiriwa na makampuni ya US pia wanafunzi wa Kichina US katika field hii ya technology kuiba utaalamu na kuupeleka kwao.
Wenye mahaba niue na Marekani wanadhani ni haki kwa Marekani kufanya hivyo lakini yeye kufanyiwa ni kosa kubwa [emoji16]Duniani hapa hakuna mchezo msafi, hasa kwa haya mataifa makubwa. Marekani anapambana kwa nguvu sana na Uchina kwasasababu anachofanya Uchina kwasasa ndicho kilekile ambacho Marekani alikuwa anakifanya dhidi ya Uingereza mnamo karne za 19 na 20.
Kampuni gani imewekewa vizingiti? MkuuChina yeye kampuni za wenzie anaziwekea vizingiti kibao kupata soko la ndani mwake lakini anataka awe huru kuwekeza kwa wenzie
akikujibu unitag MKUU.....
Iman bwana ni kitu kingine kabisa, yaani anaeathirika na anaeyetoa order alieshikwa pabaya ni anaetoa order hahahahahaHili linadhihirisha kwamba Marekani ameshikwa pabaya sana na Uchina. Muingereza ajipange tu maana ameamua kuingilia hii vita wakati hali yake siyo nzuri sana!
Mwanaume kwanza anakwambia, We have got all options on the table..... yaani wachina wangetakiwa watafakari sana hio kauli kwa mapanaUsichezee marekani,tangu ban hata mwaka haujaisha Huawei imefutika kwenye midomo ya watu.
Mwanaume kwanza anakwambia, we have got all options on the table.....yaani wachina wangetakiwa watafakari sana hiyo kauli kwa mapana
Mkuu pitia hichi kitabu "Stealth War: How China Took Over While America's Elite Slept" by Gen. Robert Spalding. Humu ndani kuna madini mengi sana yanayoonyesha mbinu za Wachina za ujasusi wa kiuchumiMkuu Hearly mwanahistoria nguli wa Kiyahudi Doron Ben-Atar anasema maneno haya kuhusu Marekani kwenye kitabu chake kiitwacho "Trade Secrets" : "the United States emerged as the world's industrial leader by illicitly appropriating mechanical and scientific innovations from Europe"...........
Huu mchezo mchafu wa Ujasusi wa mambo ya nje Wamarekani walifundhishwa na Raisi George Washington ambapo unaambiwa aliliomba bunge la Marekani lipitishe bajeti ya ujasusi wa mambo ya nje ambayo hadi leo haijawahi kupitishwa na Marekani. Raisi Washington alipoona kwamba wako nyuma sana ya mataifa ya Ulaya aliomba wapitishe bajeti ya kijasusi ambayo ilikuwa ni asilimia 12% ya GDP ya Marekani (Hizi namba siyo mzaha) kwa kipindi hicho.
Miaka ilivyoenda ndiyo wakina Francis Cabot Lowell walikamatwa mwaka 1812 wakiwa wameiba mipango ya teknolojia mpya kutoka Uingereza ya kushonea (Power Loom) ambayo iligunduliwa na Muingereza Edmund Cartwright. Miaka ya 1939-1943 Marekani akaiba teknolojia ya nyuklia kutoka Ujerumani pamoja na wanasayansi wa Ujerumani. Mwaka 1945 akaanzisha Operation Paperclip ambapo alichukua maelfu ya wanasayansi wa Ujerumani na teknolojia yao huku akiwaambia kwamba atawalinda ili wasishitakiwe kwenye mahakama ya Nuremberg.
Wernher Magnus Maximilian Freiherr von Braun ambaye alikuwa Mjerumani ndiye aliyewapa Marekani siri za kutengeneza roketi ambazo ziliwasaidia NASA kupeleka hadi watu mwezini. Kama wasingekuwa hawa watu sidhani kama Marekani angefika hata mwaka 1970 kwenye vita baridi dhidi ya Umoja wa Kisovieti.
Huawei labda toleo la mwisho kabisa lenye Android version hizi mpyaaa ni kupotezaaa mudaaaa aiseee...Labda imefutika kwamdomo wako tu MKUUYah ndio maisha kutegemeana Ndio maana halisi yauzalendo huo MKUU
Anavitisho ama anamaamisha? Alivyoanza na tarrif kuhusu bidhaa za china kuingia marekani aliachia hewan ama mpaka leo china wanalia na tarriff ile na hawana cha kufanya? Sasa issue ya 5G nayo ni maneno mpaka sasa unasikia India, Uk,Italy,France nao wako etc washaachana nao hapo unaambiwa vikwazo ni sept leo ni July ila mataifa yashaanza kula kona, haya leo unasikia kampuni zoote za kichana kwenye exchange ambazo hazikagukiwi na CAG wa US zitafutwa including alibaba bado unaona ni maneno? Endelea kujifarijiWachina wameonyesha sana jeuri awamu hii ya Trump kwasababu amekuwa na vitisho vya mbwa koko,Trump anaongea sana kuliko vitendo ndo maana anadharaulika
Anavitisho ama anamaamisha? Alivyoanza na tarrif kuhusu bidhaa za china kuingia marekani aliachia hewan ama mpaka leo china wanalia na tarriff ile na hawana cha kufanya? Sasa issue ya 5G nayo ni maneno mpaka sasa unasikia India, Uk,Italy,France nao wako etc washaachana nao hapo unaambiwa vikwazo ni sept leo ni July ila mataifa yashaanza kula kona, haya leo unasikia kampuni zoote za kichana kwenye exchange ambazo hazikagukiwi na CAG wa US zitafutwa including alibaba bado unaona ni maneno? Endelea kujifariji
Niwajuavyo wale wale wangekuwa na lakufanya duniani kwa sasa ingekua ni story ni kwamba dawa inawaingia taratibu wako chini ya mti wamefunga macho wanasubiri mvua ipite. Baada ya Trump kuanzana na Huawei si walisema in one month wanakupa na OS yao? Iko wapi ile porojo ya BeijingSasa we huoni kiburi hii ya wachina awamu hii,awamu zilizopita walikuwa kimya
Niwanuavyo wale wale wangekuwa na lakufanya dunian kwa sasa ingekua ni story ni kwamba dawa inawaingia taratibu wako chini ya mti wamefunga macho wanasubir mvua ipite. Baada ya Trump kuanzana na Huawei si walisema in one month wanakupa na OS yao? Iko wap ile porojo ya Beijing
Ilianzia Germany, Marekani walienda kuiba wanasayansi wa Hitler, operation paperclipBwahahaha, nimekuuliza swali rahisi umeshindwa kujibu:
Unadhania hiyo teknolojia ya nyuklia tafiti zake zilianzia kwa wamarekani ???
Kupoteza muda kiaje MKUU ?!Huawei labda toleo la mwisho kabisa lenye Android version hizi mpyaaa ni kupotezaaa mudaaaa aiseee...
All options on the table ndio kauli yamwisho kabisa ambayo US hua wanaitoa kuficha kutapa tapa kwao.....Mwanaume kwanza anakwambia, we have got all options on the table.....yaan wachina wangetakiwa watafakari sana hio kauli kwa mapana