Waambie hao waelewe.Ujue kitu ambacho watu hawajui Hata huko Marekani enzi hizo walikuwa na sheria kari sana kuhusu Mashoga, Marekani Mashoga walikuwa wanauwawa sana na kufungwa jera tena miaka ya 1970+ tu walikuwa wanafunga watu.
İla haikusaidia kitu na wala haikupunguza,
Watu wasome historia za Ushoga Marekani
nakubaliana na wewe. Miaka hyo hata kuwa idara kama foreign ilikuwa wakipimwa kuthibitisha kuwa sio gays!. Kimsingi haipo sheria itayoweza kudhibiti maamuzi na utashi wa kihisia za wanadamu. Makaburu SA walipiga marufuku mzungu na muafrika kuzaa, lakini kina Trevor noah walizaliwa wengi tu. Wanadamu tujifunze kukubali na kuheshimu tofauti zetu. Jambo ambalo sijawahi pata jibu ni kuwa mtu anaathirika vipi kwenye kuabudu kwake pale mtu mwingine anapokua shoga!Ujue kitu ambacho watu hawajui Hata huko Marekani enzi hizo walikuwa na sheria kari sana kuhusu Mashoga, Marekani Mashoga walikuwa wanauwawa sana na kufungwa jera tena miaka ya 1970+ tu walikuwa wanafunga watu.
İla haikusaidia kitu na wala haikupunguza,
Watu wasome historia za Ushoga Marekani
Kwani huko Tanganyika hakuna mashoga sasa hivi?Sometimes kitu hiki kinaweza kufanyika kuhadaa mataifa mengine ili watu waingie kwenye upumbavu
Huo "mwisho wa siku" ni upi? miaka mia ijayo?mwisho wa siku wanalenga watu wasizaliane
Inategemeana na "mungu" gani unayemzungumzia weye!ujinga na ushenzi usio kubalika mbele za MUNGU
Nakukumbusha tu ya kuwa wapo Wachina Waislamu, Wajapani Waislamu na Wahindi Waislamu.Wewe ndiye unayababakia hizo dini za waume zako mkuu ila Hao Hao waliokuletea hawana time Nazo.
Komaa Nazo sasa na ilhali na wewe ni mwafrika kisa unavaa suti ama kanzu za kwao BASI na wewe unajiona umefanana nao.
Haya mwarabu/ mzungu komaa bana na tamaduni za watu tuone.
Utaniambia kama Hao wachina wapan wahindi hizo dini ni chafu mbele ya aliye juu.
Wakina nani na utuwekee vifungu katika vitabu vyao vinavyoruhusu ushoga.Kuna watu wanaabudu miungu inayoruhusu ushoga!
Hujatuambia ni miungu gani inaruhusu ushoga ?Kuna watu wanaabudu mawe, tembo, majini na mashetani. Hao ni miungu yao na wanaiheshimu na kuiabudu kweli kweli.
Last i checked, kuna uhuru wa kuabudu as a constitutional right, but also as an international human right.
Ukileta habari za "mungu" usizungumze tu kiujumla jumla kana kwamba watu wote wanaishi kwenye kapu lako la fikra binafsi.
Zingatia sana specifics.
Na unasahau hao ndio waliokuletea hayo maandiko,Sidhani kama hawa watuu watauona ufalme wa bwana
Swali ni hizo chanjo wameleta wao je unatumia au hutumii? Maelezo mengiii lakini jibu lilikua moja tu,Na ndio maana kila siku tunapiga kampeni za kuzuia matumizi ya sumu za ARV zinazoua kwa liver, heart na Kidney failure, pia hizo chanjo za pepo punda tumekuwa na muda wa kutosha wa kujiridhisha nazo, ila hizi za Covid19 zilizoharakishwa, inaonekana zina agenda nyuma yake na ndio maana tukasema ni hadi pale tutakapojiridhisha na ubora na usalama wake, na hatujui ni lini tutajiridhisha.
View attachment 1694648
Mbona wameweza sasa?huwezi kuitumia tupu ya kunyea kama tupu ya uzazi
Nasikia eti ushoga ni mpango wa mafirimason wa kuwafanya watanganyika wasizae?Swali ni hizo chanjo wameleta wao je unatumia au hutumii? Maelezo mengiii lakini jibu lilikua moja tu,
Kila kitu cha maisha yako unakitumia kutokana na akili zao wakati babu zako wanapekecha moto kwa vijiti, wakina Charlie Chaplin walikua wanafanya maigizo na camera na video cameras vilikuwepo tayari,
Lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona wameweza sasa?
Actually unaweza hata kuichukua tupu yako ya kunyea kisha ukaikaangia chips mayai. Ni jambo linalowezekana kabisa.
It is called "privacy" and "self determination".
We vipi bwana! Eti haiwezekani?
Kwani wewe ndio msemaji wao?
Google.Hujatuambia ni miungu gani inaruhusu ushoga?
Wadanganyika wakishashiba ugali maharage basi uwezo wa kufikiri unakomea hapo,Nasikia eti ushoga ni mpango wa mafirimason wa kuwafanya watanganyika wasizae?
hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo mfano wa chipsi mayai nimecheka sana
Ukiwa unasoma maneno uwe unaelewa, naposema huwezi namaanisha inawezekana ndiyo maana wapo mashoga kisha nikasema kitendo hicho ni matumizi mabaya ya akili,na ni hila na uzandiki. Ni sawa leo utembee ukiwa umevaa chupi kichwani utaonekana vipi ? Jibu utaonekana akili yako haiko sawa na ndivyo ilivyo kwa watu hao.Mbona wameweza sasa?
Actually unaweza hata kuichukua tupu yako ya kunyea kisha ukaikaangia chips mayai. Ni jambo linalowezekana kabisa.
It is called "privacy" and "self determination".
We vipi bwana! Eti haiwezekani?
Kwani wewe ndio msemaji wao?
Sasa ndiyo uache kuandika usiyo yajua, ukajiona unajua. Sina muda wa kutafuta jambo ambalo halipo, bali nimekuuliza swali hilo nikiwa najua kabisa huna jibi na nimefanya hivyo kuonyesha uninga wako ulipo.Google.
Tulizojiridhisha nazo tunatumia, shida nini kwani? Unataka tutumie ambacho hatujajiridhisha nacho? Ona kilichowakuta South Africa na Astra Zenenca yaoSwali ni hizo chanjo wameleta wao je unatumia au hutumii? Maelezo mengiii lakini jibu lilikua moja tu,
Kila kitu cha maisha yako unakitumia kutokana na akili zao wakati babu zako wanapekecha moto kwa vijiti, wakina Charlie Chaplin walikua wanafanya maigizo na camera na video cameras vilikuwepo tayari,
Lol.