Hatimaye waziri shoga nchini Marekani ala kiapo kulitumikia Taifa

"Waume zako....ndio akina nani..."

Au asifiaye mvua mmemnyeshea au kwenu mpo vice vera ndio michezo yenu.
Hebu kuwa mwafrika bana hivi hauoni kama makitu yanaleta ubaguzi mkubwa sana ama ndo umeshakuwa msukule mkuu.
Angalia kila watu wana dini zao mkuu.
Sio lazima uitwe john,simon,grace,Mary, abdalah,JUMA ,Mohammed , zuber,Daniel,zuhura,nasra BASI eti ndo utakubalika mbele za aliye juu.
Haya yote shida ya mwenye ngozi ya nguruwe kuja afrika.
Sijawahi muona mzungu ama mwarabu anayeitwa mwakasege,ikemefuna,masanja,moshi,mutashobya ,Chacha,ndugui ama majina yetu yamekaa vibaya Bali ya kwao
 
"Msukule ndio nani kwenu..."

Au asifiaye mvua mmemnyeshea au kwenu ndio michezo yenu.
 
"Msukule ndio nani kwenu..."

Au asifiaye mvua mmemnyeshea au kwenu ndio michezo yenu.
Mkuu hebu badilika acha tusipeane matusi kisa tamaduni za watu wengine.
Jisifie na jipige kifua kuwa Mara kumi kuwa mie ni mwafrika lazima niwe na tamaduni zangu kama alivyo mjapan ama mzungu ama mwarabu na sio kuvaa mavazi yao kuwa ndo bora machoni mwetu.
Afrika tubadilike na sie tuwe na mitume wetu weusi bana.
 
That was fake news mzee

Reuters walikanusha hii story kwa ushahidi.

Sijakutukana bali nimeongea ulicho ongea wewe,sijakupa tusi lolote.

Ustarabu ni kitu muhimu sana cha msingi tuheshimiane pamoja itikadi zetu na iman zetu ni tofauti,kwa kufanya hivyo tutajenga jamii iliyo starabika.
 
Ulikuwa unaulazima utaje msahafu, ujinga mwengine muuache, halafu ndio wa mwanzo kuwatlita wenzenu wadini kumbe nyie ndio mnaokufafa kwa hasira za udini
 
Ila wewe si ni mwafrika bro ama ni mzungu mjapan mhindi mwarabu.
Namba uwe mwafrika bana hizo madini tuwaachie wao wenyewe walioletewa huko sie huku hayatuhusu.
Tuishi kama waafrika na sio kuwa unaenda hotelini unaagiza chakula cha kichina kiiitaliano kihisipaniola ili na wewe uonekane kama wao eti.
Hebu himiza uafrika mbele broa achana na makitu ya kuletwa na mameli
 
Ulikuwa unaulazima utaje msahafu, ujinga mwengine muuache, halafu ndio wa mwanzo kuwatlita wenzenu wadini kumbe nyie ndio mnaokufafa kwa hasira za udini
Mkuu wewe ni mjapan, mhindi mzungu mkorea ama mwarabu.
Hivi afrika hauna kitabu chetu cha dini
 
Unataka kutuaminisha kuwa huyo Waziri (Mmarekani) kaleta dini mojawapo kati ya hizo zinaZopinga ushoga?
 
Mkuu wewe ni mjapan, mhindi mzungu mkorea ama mwarabu.
Hivi afrika hauna kitabu chetu cha dini
Unajitahidi kupotosha watu sasa kwani dini ya kikristo mfano ni utamaduni wa mzungu wapi wakati hata africa maeneo kama ethiopia na misri zilikuwepo kitambo. Halafu hata kam wazungu wamewahi tumia dini kama muhimili wa kututawala bado sio kigezo cha dini kuwa batili kwani manabii wa uongo wanavotumia dini kujipatia pesa ina maan nd dini batili mbona hushangai

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Ulikuwa unaulazima utaje msahafu, ujinga mwengine muuache, halafu ndio wa mwanzo kuwatlita wenzenu wadini kumbe nyie ndio mnaokufafa kwa hasira za udini
Sasa tukipanick nd inasaidia nini tuombeane tu tukumbushwe na Mungu kuhusu kutodhihaki dini mbona inatosha

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Hizo dawa ni kwa nchi tajwa hapo kwenye box, ikikutwa eneo lingine maana yake imeibiwa. Sawa na kukamata dawa za MSD nchini Kenya, haimaanishi hazitotibu ila hazikuoangwa kuwa uko.
Watu wanatoa msaada kwa nchi husika tu, ambaye hataki atengeneze za kwake au anunue batch na aina anayotaka.

Mfano dawa inayotolewa bure kule UK usitarajie kukuta imeruhusiwa kuuzwa nchi yoyote.
 
Sema biblia sio msahafu pls
 
You have zero knowledge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…