Mkuu uko sawa hundred percent naomba niishie hapo coz nikisema nikujibu ulicho-comment itakuwa haina maana tena ya kusubiri muendelezo Mei mosiSubconsciously Caren alitaka kucheki upepo kuwa Kuna Nini Kati ya bm and Michele. So angeweza kusoma Ile inner voice or intuition Kama sio reaction akilianzisha alilolianzisha.
Ingawa in conscious level of understanding unamuona Kama Ni utani fulani Ila in deep her amygdala brain wanted to feed up with certain information intuitively or automaticall ,kabla ya kwenda kwa bm asubuhi na kujifunika shuka moja akiwa naked ama amfuate bafuni waoge wote tayari mchezo umeisha.
Ameanza kufanya usafi ndani mwake unategemea Kuna Nini.
Hapo kwenye pisi kali [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] labda nimuulize mwansheria wanguAyaah! sasa ww ukija kupata pesa ndio utakuwa Balaah! Kama huna tu ndio upo hivyo I can't imagine ukizishika
Na kama Pesa huna basi utakuwa Pisi Kali sana, maana ukikosa hivyo vyote huwezi kuwa Overconfident
Aisee mei mosi Tena mboni mbaliMkuu uko sawa hundred percent naomba niishie hapo coz nikisema nikujibu ulicho-comment itakuwa haina maana tena ya kusubiri muendelezo Mei mosi
I have to re- read my previous predictions for this thread. Still thinking what was the Mzee's expectations to hand a lamb to a wolf.Mkuu uko sawa hundred percent naomba niishie hapo coz nikisema nikujibu ulicho-comment itakuwa haina maana tena ya kusubiri muendelezo Mei mosi
Duh...hiyo comment yako unaweza kujua ipo namba ngapi? Kama inawezekana nitajie nirudi nikaisomeI have to re- read my previous predictions for this thread. Still thinking what was the Mzee's expectations to hand a lamb to a wolf.
Je wewe na Caryn mmeingia ktk mfumo wa Mzee au Mzee had it all coming from day one...if not kwanini amwambie Caryn akapange na anajua mko karibu kama hii haikuwa plan yake angemlinda zaidi na wewe.
Au mawazo ya Mzee yame change baada ya kuona Michelle anazingua kwa Oppo akaona ni heri shetani unayemfahamu kuliko usiyemjua?
Anyway, ngoja tuone makubaliano yako na bosslady yatatupa picture.
Ila mei mosi si mbali kiasi
Mkuu kama upo serious na unachokisema utafanya hii story iishe kabla ya Eid
Ninamaanisha. Pia akitaka tuoweke kwenye video format, nita finance.Mkuu kama upo serious na unachokisema utafanya hii story iishe kabla ya Eid
Kuendesha Gari unayoiota kila siku sio mchezo
Yes. NinamaañishaMkuu kama sijakuelewa vizuri, Yani una maanisha kwamba....?
Duuh! BM X6 ebu njoo kwanza huku...Ninamaanisha. Pia akitaka tuoweke kwenye video format, nita finance.
Acha ujuaji hukuulizwa wala nini?Hako ka kampuni kao ni UPS wapi Samora avenue na Ubungo business park.