Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Yeye ameweka nadhiri ya kukukula wewe tuHahahaha huyu Careen mbona tunafanana tabia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Good story [emoji122] ila jamaa una asili ya upole na ustarabu ndyo maana despite ya manyanyaso yote ya Caryn wala haukasiriki na kuzira...ustarabu wako ni wa hali ya juu maana angekuwa mwingine angeshamla Careen kitambo sana
Amna Mkuu, story bado ina miezi miwili mbele, siwezi ku fast forward story kwasababu ya promise ya jamaa, kama ipo ipo tuMkuu kama upo serious na unachokisema utafanya hii story iishe kabla ya Eid
Kuendesha Gari unayoiota kila siku sio mchezo
Zali la mentali,Yani BM unyota mkuu hata ivyo unastail kuandika huku KiLa wkt nakupa saluteMkuu mawasiliano yako pls
Tupo hapa tunangoja mrejesho wa kila hatuaMkuu mawasiliano yako pls
Slow down Mkuu, upo race sana, relax.... ngoja niwasiliane na Bhadhuu mwenyewe kwanza, mrejesho nitaletaDuuh! BM X6 ebu njoo kwanza huku...
Kama itakuwa kweli kwa niaba ya Members wa Jf tunaomba picha ya makabidhia ipigwe then iwekwe kwenye Uzi huu huu, hata kama hamtataka sura zenu zionekane ila Chuma BMW X6 tuione na muhusika a confirm kama ameipokea
Okay [emoji1531]Slow down Mkuu, upo race sana, relax.... ngoja niwasiliane na Bhadhuu mwenyewe kwanza, mrejesho nitaleta
Mei mosi shusha mkuu ili tunapopigwa porojo za Increment tuna punguza maumivu hapaKama ndio hivyo basi tuishi na Bunge la Budget kwanza, likishaisha ndio tuendelee na tulipoishia...au unasemaje Mkuu?
Jamaa limeketa stori tamu likasepa.Thread 'Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho' Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho
Au kama has she been hitBM X6
Ulishawahi kumwuliza caryn kama ana boyfriend/mchumba? Au ushamuona naye?
Kama bado fanya kumwuliza huku umemkazia macho, ile ya u-serious kabisa. Akisema hana mwulize kama ashawahi kuwa naye.
Yeah, nilimuuliza mkuu lakini hiyo part sijaielezea, jibu lake kwa hicho kipindi namuuliza aliniambia alishawahi kuwa naeBM X6
Ulishawahi kumwuliza caryn kama ana boyfriend/mchumba? Au ushamuona naye?
Kama bado fanya kumwuliza huku umemkazia macho, ile ya u-serious kabisa. Akisema hana mwulize kama ashawahi kuwa naye.