Hatma ya ndoa yangu leo usiku imekuwa hatari kwa maisha yangu

Ulipochemka ni kumpeleka kwenye shule ya kiislamu. Hapo kaanza kupigwa msasa wa dini upyaaaaaaaaa. Ulianzaje kumpeleka hapo bro sasa? Anyway ndo ishakuwa. Ila anaposema labda umeache wewe hapo napo kuwa macho. Cha kufanya sasa tuliza mpira kabisaa. Hizi dini tumezikuta zisituletee shida. Kwani ungezaliwa SaudArabia hata wewe ungekuwa muislam. Muache tu maisha yaendelee majibu utayapata kama kuna ustaz kampata anamtaka Muda utakupa majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu za kuvunjika Ndoa kisheria ni:

1. Kifo
2.Mwanandoa mmoja kubadili dini
3. Kukosa uaminifu kwenye ndoa

Angalia sababu hizo na chambua yako iko wapi hapo.

Pia mkeo siyo Muislamu wa kweli kwa sababu akirudi kwenye Uislamu huku akiendelea kuishi na wewe maana yake mtakuwa mnaishi bila ndoa Rasmi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saw aa nashukuru naendelea kutafakari kwa upole sana
usifanye maamuzi yoyote ukiwa na hasira au hamaki.

Mbona kuna watu wameoana ndoa za bomani wakati mmoja ni mkristo na mwingine muislam na wanaishi vizuri tu?
 
Pointi ya muhimu niliyoona ni wewe kupeleka shule ambayo imani yake ya awali ilipo.
Kusema kirahisi uachane naye sio suluhisho. Buy sometimes uone huo msimamo wake.
Mkiachana na watoto wanakuwa katika hali gani? Yeye anabaki nao au wewe unabaki nao? Wewe msimamo wako ukoje juu ya imani ya watoto wako?
Kama unaweza kumshawishi arejee kwenye imani yako utakuwa ushindi lakini kama huwezi mambo ya imani yatawaweka katika wakati mgumu sana kwa kila hatua mnayofanya.
 
N
Nakushukuru sana na nitalifanyia kazi na nimeona point yako muhimu
 
Barikiwa
Barikiwa mtumishi Wa Mungu nimekuelewa ila mpaka sasa sijajua cha kufanya
 
Hapo subiri tu kukwambia kuwa hataweza kuendelea kuishi na kafiri.
Muda sio mwingi atakupa 2 options, wewe ubadili dini na uswali au kila mtu ashike 50 zake.
Trust me, Mimi ni mwanasaikolojia wa mahusiano
Pole
 

MBONA HIYO NI SAWA, ULIFIKIRI ALIBADILIKA? WEWE ULIOA MUISLAM
 
Ndugu, ukiacha uishi nae ndani wakati yeye muislam ww mkristo kunamambo yatakuja kwenye iyo family yako hadi utajuta kuzaliwa/kuoa.
Maana milango itakua wazi kupitia yeye.
anatakiwa kuchagua either kukutii au kuendelea na imani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dini zote ni uongo mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asantee boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…