Hatma ya ndoa yangu leo usiku imekuwa hatari kwa maisha yangu

Nimeshangaa na mimi huku wanamshauri mtu avunje ndoa kisa dini. Aiseee. Kwani mke kuwa imani tofauti na mumewe kitapungua nini kwenye ndoa yao?
Kama ni waroman Catholic ndoa mseto zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine. Dini haijui wala ukwaju wala misingi yake na kwanini zimeletwa, thats very stupid of him. Huwezi acha mke kisa eti ameamua kuwa muislamu, ni utoto wa kiwango cha juu!
 
Yana ugumu gani ndugu? Infact mimi ndo ningekua wa kwanza kuafiki yeye kurudi kwenye dini ya wazazi wake ili sasa nipate wasaa wa kuchagua tubinti tubichiiii
Kuoa au kuolewa na mtu wa dini tofauti ni mtihani mkuu.
Na mwenzio anapokwambia nimekubali kubadili dini ili tuoane mara nyingi anaigiza tu mwisho wa siku anarudi kule kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ni shida kwelikweli, hivi wanaonshauri wanadhani mkiwa kwenye dini moja ndio hakuna changamoto? Walio wengi tuko kwenye hizi dini “ by default “ kila mmoja anaamini alichorithi kwa wazazi. Inatakiwa kutoka kwenye hili obwe la udini na kuishi kwa kukubaliana na utofauti ambao tunao. Mungu angelitaka angetufanya tuwe na dini moja. We need to embrace diversity and be tolerant to each other. Hapo ndio tutakuwa wamoja. Mbona familia nyingi zina ndugu wakristo na waislamu, je tumeshawahi kutengana kwa ajili ya dini? Mbona tunaishi nao kwa amani kabisa na kushirikiana. Jamaa afikirie mara mbili kabla ya maamuzi.
 
Wakorintho 7 kuachana ni kwasababu ya uasherati tuuu. Hapo sijui utafanyaje . Maanayake hakuna sababu ya kuachana except uzinzi ktk dini ya kikristo. Kubadili dini kwake ni mtihani kwako especially malezi ya watoto but kuachana biblical ilishakataa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuwa kapata baharia shuleni ana gonga ngozi huku anamuimbia kaswida
 
"Amepretend muda mrefu" inamaana alikudanganya for very long time. Anaweza ku pretend hata anakupenda kumbe yuko kwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ameweza "kupretend" kwenye IMANI ....nini UPENDO .... ndoa eshaipata .... Imani yako haitaki... Na kuna uwezekano pia pendo kwako halipo.... Hakuna namna endelea kujifunika tu shuka moja na nyoka....
 
Elewa tu mkeo hana msimamo! hata huko mbeleni anaweza kumwambia tuachane kabisa kila mtu aishi maisha yake. Uamuzi utafanya mwenyewe sisi tunakushauri tu[ .QUOTE="UWOGA=UMASKINI, post: 30024278, member: 192780"]Nichukue maamuzi gani mwuungwana nipo na hali mbaya sana hapa[/QUOTE]
Nimeshangaa na mimi huku wanamshauri mtu avunje ndoa kisa dini. Aiseee. Kwani mke kuwa imani tofauti na mumewe kitapungua nini kwenye ndoa yao?
Kama ni waroman Catholic ndoa mseto zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkewe hana msimamo tatizo siyo hizo dini zao.
 
Mkewe hana msimamo tatizo siyo hizo dini zao.[/QUOTE]Msimamo upi? Aendelee kuabudu kwenye dini ambayo hana imani nayo? Na kasema alikubali kubadili dini Ili aolewe (aridhishe mume na ndugu zake)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani tatizo limetokea baada ya wewe kumpeleka kuristi mtihani katika shule ya Kiislam! Kule huenda amelishwa maneno na kupandikiziwa roho nyingine.
Lakini hata hivyo usimwache ni mkeo huyo.Dini siyo sababu ya kuvunja ndoa,kwani kila mtu atahukumiwa pekee yake siku ile ya mwisho.
 
mwanamke wa Kiislam kuolewa na mwanamme yeyote asiye Muislam
Hili swali liliwahi kuulinzwa kwenye muhadhara wa kiislamu, jibu likawa ndio Inawezekana kwa masharti huyo mwanaume asikuzuie kuabudu au kufata ibada zako, pia niliwahi kumuulizia Ostadhi wangu wa Madrasa akanijibu inawezekana 🤔🤔.
 
Nichukue maamuzi gani mwuungwana nipo na hali mbaya sana hapa
Endeleen na maisha mkuu unatakaiwa kuachana na mwanamke pale unapojua hakupendi tu ana haki ya kurudi kwenye imani inayomuweka huru kuliko kila siku afikirie kuwa anamkosea Mungu wake kwa ajiri yako wewe nawatakia maisha mema hakuna haja ya kuachana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kupitia mistari hii haitaji ushauri zaidi..
Mkuu usimwache mkeo.Nilitaka kusingizia dini yako lakini naona pia imekuruhusu.Endelea kumpenda mkeo na wanao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Muogope sana,mwanamke yoyote aliyetayar kubadili dini eti kwa ajili ya ndoa na si kwamapenzi.yke mwenyew,atakuyumbisha sana hasa ukiwa mwanaume unaamn dini yko ndio sahihi.

Ktk imani ytu ya kiislam kigezo kkubwa na cha kwanza ktk kuoa au kuolewa ni dini kwanza mamb mengne ndo yanafuata,ukikosea kwny dn umeumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…