Mbn basata hawaelezi ni hatua gani achukuliwe afunguliwe mashitaka ya kutembea uchi na ikibidi afungwe mbn mnatafuna maneno imekuwa aibu kwa wasanii wa kike kila siku kutembea uchi. Anyanganywe pass na afungwe
kajifunze kiingereza kwanza wewe.
Uko kama Mziwanda tuu
Au useme km Ndo umekuja kutetea ujinga wa demu wako.
Shilole hana aimbalo na hajui mziki sasa ili kupata kiki anaona afanye vituko vya kujiacha wazi ili azungumzwe kumbe ndo anazidi kujizalilisha. Sio Mara moja kuna siku alipost kashikwa nyonyo hadharani bila hata braa na nuhu nyingine makalio. Nahisi watakua wanavuta bangi si bure hata kama ni Uhuru wa kufanya mambo hawa wamezidi wehu kabisa.
Mbn basata hawaelezi ni hatua gani achukuliwe afunguliwe mashitaka ya kutembea uchi na ikibidi afungwe mbn mnatafuna maneno imekuwa aibu kwa wasanii wa kike kila siku kutembea uchi. Anyanganywe pass na afungwe
Mkuu mbona nyimbo zake za mduara zinapendwa sana huku kwetu????
Kama ule wimbo yupo na Q-Chief.
Amefanya vizuri mno.
Huyu Shilole wamfungie kwanza miezi ka sita hivi ili atie akili kazidi kujizalilisha na kuonyesha nyeti zake wakati ni fedheha kwa wanawake wote kuonyesha kiungo sensitive .
Kwenu wapi mkuu mi nyimbo nyigi sielewagi aimbacho ingawa ndo kazi yake ya kipato.
Kwetu Uswahilini Diva....
Kwanza kabisa unaonekana una Chuki na Shilole,na hiyo chuki uliyonayo dhidi yake ndo imekufanya usipende muziki na kushindwa kuuelewa kabisa.
Jamani Basata hilo ni uonevu huo ni mwili wake ana haki ya kuutumia anavyotaka mmemuona Shilole tu, kigodolo hamjakiona mpaka mnamuadhibu shilole!
Kujisajili sio shida hiyo ni haki yake, kama wewe unavyosajiliwa NECTA kufanya mitihani na mbona unafeli NECTA walikuadhibu, kusajiliwa sehemu yoyote ni haki ya kila mtu anayehitaji hiyo huduma na je kwenye usajili kuna sehemu unaambiwa usionyeshe ziwa? Hiyo ni sawa unapoenda dukani lazima upewe stakabadhi ya kitu ulichonunua na hauulizwi unaenda kukifanyia nini.
Acheni wivu wa kijinga huo mwili ni wake na ana haki ya kufanya anavyotaka.
GOD IS ONLY FAIR JUDGE NOT YOU.

Ila Nuhu mziwanda ana roho ngumu sana au atakua zuzu yule jamaa, ivi mpenzi wangu afanye yale madudu alafu bado nachekelea? Yaani kabla ya BASATA mimi ningeshamtia adabu
We ni bora ukae tu kimyaa.. Coz unaeleweshwa unabisha kwa fact za kipuuzi. Kila nchi ina sheria na taratibu zake, kujisajili sio ukafanye maududu jinsi akili yako inavyokutuma, lazima ufuate masharti ya kibali ulichopewa.
Ni vyema ukamshauri ajiunge na club ya kona bar n the like.. Huko anakopita kakosea njia. Ajitoe ktk sanaa aone kama hao BASATA Watahangaika nae.
By the way.. Hivi wewe ni Mbutananga nini?? Akili mgando sanaaaaa
Huo ni wivu, kama umeshindwa kubuni kitu cha kukuingizia pesa tulia, halafu waulize Basata mbona mamiss walijionyesha utupu Tanzania na nchi za nje kwani hawakiuka mila na desturi ya kitanzania au basata hawajui nini wanalofanya,nyie ndio wale mliyemwomba pesa Shilole akawakatalia na kumtangaza mabaya kwenye vyombo vya habari, huo ni wivu na wewe IQ yako ndogo ndio maana unashabikia upumbavu. Jenga maisha yako acha mambo ya kike, mbumbumbu wewe

HakikaNuhu na shilole akili moja.
Tupe picha ya miss aliyekaa uchi kama alivyofanya huyu boss wako
Aaaah I love is my country
we are to the dinner with ......................