Hatma ya Shilole mikononi mwa BASATA

Hatma ya Shilole mikononi mwa BASATA

Mbn basata hawaelezi ni hatua gani achukuliwe afunguliwe mashitaka ya kutembea uchi na ikibidi afungwe mbn mnatafuna maneno imekuwa aibu kwa wasanii wa kike kila siku kutembea uchi. Anyanganywe pass na afungwe

Mkuu Basata walisha muonya siku za nyuma, kwa hili wanasubiri maelezo yake kabla hawajamkadiria adhabu
 
kajifunze kiingereza kwanza wewe.

Uko kama Mziwanda tuu

Au useme km Ndo umekuja kutetea ujinga wa demu wako.

Ndio ni demu wangu, kwanini unapanic acha ujinga, unamtaka nini au unamuonea wivu alivyoumbika, wewe nani kwanza wasione vibaya wazazi wake wewe ndio unakurupuka kuona vibaya una gharama umemgharamia toka utoto au ulimlea maadili mazuri toka utotoni, kama hupendi anavyofanya acha kuangalia au kumfuatilia tutolee ushamba hspa na IQ yako ndogo.
Halafu waambie Basata wangeanza na ma miss kwanza.
No sense.
 
Shilole hana aimbalo na hajui mziki sasa ili kupata kiki anaona afanye vituko vya kujiacha wazi ili azungumzwe kumbe ndo anazidi kujizalilisha. Sio Mara moja kuna siku alipost kashikwa nyonyo hadharani bila hata braa na nuhu nyingine makalio. Nahisi watakua wanavuta bangi si bure hata kama ni Uhuru wa kufanya mambo hawa wamezidi wehu kabisa.

Mkuu mbona nyimbo zake za mduara zinapendwa sana huku kwetu????
Kama ule wimbo yupo na Q-Chief.
Amefanya vizuri mno.
 
Mbn basata hawaelezi ni hatua gani achukuliwe afunguliwe mashitaka ya kutembea uchi na ikibidi afungwe mbn mnatafuna maneno imekuwa aibu kwa wasanii wa kike kila siku kutembea uchi. Anyanganywe pass na afungwe

Hamna hiyo sheria ndio masna wanagwayagwaya hata kwenye katiba haipo kama ipo wangeanza na ma miss, miaka ya nyuma kuna kiongozi alianzisha wanawake wanaovaa nguo fupi wakamatwe lkn Mwal Nyerere alikemea na kuuliza kwani wamevunja sheria ya nchi, Basata inashindwa kuwakemea wasanii wanao safiri na madawa ya kulevya nje na sio maadili ya nchi yetu, wanakemea upuuzi. Huo ni ujinga kabisa.
 
Mkuu mbona nyimbo zake za mduara zinapendwa sana huku kwetu????
Kama ule wimbo yupo na Q-Chief.
Amefanya vizuri mno.

Kwenu wapi mkuu mi nyimbo nyigi sielewagi aimbacho ingawa ndo kazi yake ya kipato.
 
Huyu Shilole wamfungie kwanza miezi ka sita hivi ili atie akili kazidi kujizalilisha na kuonyesha nyeti zake wakati ni fedheha kwa wanawake wote kuonyesha kiungo sensitive .

Shilole hana hata kiungo kimoja sensitive ktk mwili wake
 
Kwenu wapi mkuu mi nyimbo nyigi sielewagi aimbacho ingawa ndo kazi yake ya kipato.

Kwetu Uswahilini Diva....
Kwanza kabisa unaonekana una Chuki na Shilole,na hiyo chuki uliyonayo dhidi yake ndo imekufanya usipende muziki na kushindwa kuuelewa kabisa.
 
Teh teh teh chuki ya nini labda na kwa kipi alicho nacho labda uchizi wa kujizalilisha hadharani na kuacha manyonyo hadharani really? Labda siku hizi kutokupenda kitu ni chuki labda according to ua own definitions na sio mimi aisee kusikiliza ujinga ujinga tu.
 
Jamani Basata hilo ni uonevu huo ni mwili wake ana haki ya kuutumia anavyotaka mmemuona Shilole tu, kigodolo hamjakiona mpaka mnamuadhibu shilole!

Sidhani kama ni uonevu. Angefanya hayo nje ya mwamvuli wa sanaa hakuna mtu angemwuliza, labda angekamatwa na kina kova kama wanavyokamata dada poaz ambiance. Anayofanya yeye ni kuwafanya watu waishushie hadhi sanaa na kuona hayo ni sehemu ya sanaa.. Wakati si sahihi
 
Kujisajili sio shida hiyo ni haki yake, kama wewe unavyosajiliwa NECTA kufanya mitihani na mbona unafeli NECTA walikuadhibu, kusajiliwa sehemu yoyote ni haki ya kila mtu anayehitaji hiyo huduma na je kwenye usajili kuna sehemu unaambiwa usionyeshe ziwa? Hiyo ni sawa unapoenda dukani lazima upewe stakabadhi ya kitu ulichonunua na hauulizwi unaenda kukifanyia nini.
Acheni wivu wa kijinga huo mwili ni wake na ana haki ya kufanya anavyotaka.
GOD IS ONLY FAIR JUDGE NOT YOU.

wtf....!!
 
We ni bora ukae tu kimyaa.. Coz unaeleweshwa unabisha kwa fact za kipuuzi. Kila nchi ina sheria na taratibu zake, kujisajili sio ukafanye maududu jinsi akili yako inavyokutuma, lazima ufuate masharti ya kibali ulichopewa.

Ni vyema ukamshauri ajiunge na club ya kona bar n the like.. Huko anakopita kakosea njia. Ajitoe ktk sanaa aone kama hao BASATA Watahangaika nae.

By the way.. Hivi wewe ni Mbutananga nini?? Akili mgando sanaaaaa
 
Huo ni wivu, kama umeshindwa kubuni kitu cha kukuingizia pesa tulia, halafu waulize Basata mbona mamiss walijionyesha utupu Tanzania na nchi za nje kwani hawakiuka mila na desturi ya kitanzania au basata hawajui nini wanalofanya,nyie ndio wale mliyemwomba pesa Shilole akawakatalia na kumtangaza mabaya kwenye vyombo vya habari, huo ni wivu na wewe IQ yako ndogo ndio maana unashabikia upumbavu. Jenga maisha yako acha mambo ya kike, mbumbumbu wewe
 
Shilole ndugu yako?

kwa hiyo kuonesha Yale manyonyo meusi kama ugoko wa Shadraki Nsajigwa ni sawa kisa anaingiza hela?
 
Huo ni wivu, kama umeshindwa kubuni kitu cha kukuingizia pesa tulia, halafu waulize Basata mbona mamiss walijionyesha utupu Tanzania na nchi za nje kwani hawakiuka mila na desturi ya kitanzania au basata hawajui nini wanalofanya,nyie ndio wale mliyemwomba pesa Shilole akawakatalia na kumtangaza mabaya kwenye vyombo vya habari, huo ni wivu na wewe IQ yako ndogo ndio maana unashabikia upumbavu. Jenga maisha yako acha mambo ya kike, mbumbumbu wewe

Tupe picha ya miss aliyekaa uchi kama alivyofanya huyu boss wako
 
Huo ni wivu, kama umeshindwa kubuni kitu cha kukuingizia pesa tulia, halafu waulize Basata mbona mamiss walijionyesha utupu Tanzania na nchi za nje kwani hawakiuka mila na desturi ya kitanzania au basata hawajui nini wanalofanya,nyie ndio wale mliyemwomba pesa Shilole akawakatalia na kumtangaza mabaya kwenye vyombo vya habari, huo ni wivu na wewe IQ yako ndogo ndio maana unashabikia upumbavu. Jenga maisha yako acha mambo ya kike, mbumbumbu wewe

Mfyuuuu

Wauza nyapu utawajua tu..

Hizo shughuli za kiuchumi unazotetea ni zipi hizo, ni hizo za kuuza nyapu sio?

Na huyo Shilole ana kitu gani hasa cha kufanya majority wanaopitia uzi huu waone kachemka.. Au ni hiyo ndala, kuperform kwenyewe ana perform sebuleni, ana Tsh ngapi benki tumuonee wivu?

Maana umeng'ang'ana na wivu wivu.. Unayongea hayana mashiko, kajipange upya.
 
Back
Top Bottom