mtz daima
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,561
- 579
- Thread starter
- #81
Mbn basata hawaelezi ni hatua gani achukuliwe afunguliwe mashitaka ya kutembea uchi na ikibidi afungwe mbn mnatafuna maneno imekuwa aibu kwa wasanii wa kike kila siku kutembea uchi. Anyanganywe pass na afungwe
Mkuu Basata walisha muonya siku za nyuma, kwa hili wanasubiri maelezo yake kabla hawajamkadiria adhabu