funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena.
Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti cha uongozi wa kitaifa katika mazingira magumu kiasi hiko.
Utulivu wake na ukomavu wake kisiasa umemplelekea nchi kuwa tulivu hadi sasa.
Sishawishiki na Rais wa majaribio.