Naunga mkono hoja,ambae ana mashaka aweke hapa hoja zake with reference vinginevyo ni chuki za kijinga na zikataliwe.Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena.
Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti cha uongozi wa kitaifa katika mazingira magumu kiasi hiko.
Utulivu wake na ukomavu wake kisiasa umemplelekea nchi kuwa tulivu hadi sasa.
Sishawishiki na Rais wa majaribio.
hiko chama si kilishatamka hakishiriki uchaguzi hadi reforms?Unamuamini vipi mtu anayezuia vyama pinzani visishiriki uchaguzi na kupoka mchakato ndani ya chama?
Tunataka uwazi, na katiba ya ccm kuheshimiwa
Hata Pole Pole anataka Reforms kwenye mchakato wa kumpata mgombea Kabla ya uchaguzi wowotehiko chama si kilishatamka hakishiriki uchaguzi hadi reforms?
Sasa kama hakishiriki uchaguzi hiko ni chama cha siasa au NGO ys kutakatisha fedha chafu?
Taja miradi mitano tu aliyoianzisha katika miaka yake minne.. Usitaje Ile ambayo ameikuta inamalizikiaMtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena.
Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti cha uongozi wa kitaifa katika mazingira magumu kiasi hiko.
Utulivu wake na ukomavu wake kisiasa umemplelekea nchi kuwa tulivu hadi sasa.
Sishawishiki na Rais wa majaribio.
Katuvusha kwenye yapi? em tuambue labda tutaelewaMtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena.
Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti cha uongozi wa kitaifa katika mazingira magumu kiasi hiko.
Utulivu wake na ukomavu wake kisiasa umemplelekea nchi kuwa tulivu hadi sasa.
Sishawishiki na Rais wa majaribio.
kwenda kwenye madeni lukukiKuivusha kwenda wapi?
Kazi ya kupindisha kweli iwe kama ulivotumwa kwenye script yako ni ngumu sana, najua unajua!Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena.