Iwapo ni majaribio yote wamesha maliza chawa na machawa wa huko chamaniMtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena.
Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti cha uongozi wa kitaifa katika mazingira magumu kiasi hiko.
Utulivu wake na ukomavu wake kisiasa umemplelekea nchi kuwa tulivu hadi sasa.
Sishawishiki na Rais wa majaribio.
Taja aliyoianzisha maana Ile ameikuta in motion na imeshatengewa fedha... Sifa ya kiongozi ni kuona matatizo ya kusolve.. Yale ameyaona mwendazake nioneshe aliyoyaoma yeyeulitaka aachane na miradi aliyoikuta?
Kuna Shule za Sayansi za Wasichana nchi nzima.Taja aliyoianzisha maana Ile ameikuta in motion na imeshatengewa fedha... Sifa ya kiongozi ni kuona matatizo ya kusolve.. Yale ameyaona mwendazake nioneshe aliyoyaoma yeye
Labda kuelekea KizimkaziKuivusha kwenda wapi?
Kamvusha nani ? labda wewe na mkeo.Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena.
Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti cha uongozi wa kitaifa katika mazingira magumu kiasi hiko.
Utulivu wake na ukomavu wake kisiasa umemplelekea nchi kuwa tulivu hadi sasa.
Sishawishiki na Rais wa majaribio.
πππ Funaku unafurahisha... So upo kuwaambia wanaJF kuwa hapakua na hivyo vitu kabla yake ?? Kuwa taasisi zilikua hazipewi magari ,shule zilikuwa hazijengwi,huruma za dharura hazikuwepo and all that..Kuna Shule za Sayansi za Wasichana nchi nzima.
Kuna Vyuo vya VETA nchi nzima
Kuna Huduma za dharura nchi nzima
Kuna Sheria ya Bima ya Afya kwa wote
Kuna boti kwa ajili ya wavuvi
Kuna Magari ya Taasisi nchi nzima
Kuna mabwawa ya kuhifadhi maji
Kuna PET CT SCAN Africa Mashariki ni ya kipekee
Bomba la mafuta limeanza
by the way huwezi kumtenganisha na mafanikio yaliyopita mfano BWAWA LA UMEME na SGR
Utulivu wa kuteka watu na kuwaua huku yeye ana demka demka? AuMtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena.
Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti cha uongozi wa kitaifa katika mazingira magumu kiasi hiko.
Utulivu wake na ukomavu wake kisiasa umemplelekea nchi kuwa tulivu hadi sasa.
Sishawishiki na Rais wa majaribio.
Kwani lazima nitekwe mimi ndio niumie,au ndio maana ccm mnakuwa wabinafsi kwa vile hamjali watu wengine!?wewe umetekwa?