Hawa Feminist walipofikia ni pabaya sasa

wajinga pekee, ndiyo wanaooa
 
Hivi kwenye suala la ndoa ni nani anamhitaji mwenzake zaidi?
Kama wote mnategemeana hakuna sababu ya kulipana chochote.
Tatizo kuna baadhi ya wanawake wamegeuza ndoa kuwa mtaji.
 
Feminist wao ni kilio Cha tukose wote Kama ndoa haikuwa bahati yako ishi bila ndoa Sio lazima Wala Sio dhambi kutooa au kuolewa.
Waache kupotosha kusudi la ndoa.
Kwanza mwanamke hakuumbwa kutafuta au kufanya kazi yeye anatakiwa akae home aletewe vyote avitakavyo ili kubalance familia,sema tu mabadiliko ya uchumi ndio yamewafanya wanawake nao wafanye majukumu yasiyo Yao yaani kufanya kazi ili familia iende.
Uarabuni wapo sahihi,mke ni pambo anatunzwa
 
Nikishamlipa mshahara kwa kazi anayofanya, napendekeza yafuatayo:-

1. Asiwe na haki ya umiliki wa Mali zangu,
2. Alipie kodi ya pango anapoishi
3. Ajihudumie mavazi na huduma za Afya.
4. Mimi nitahudumia watoto tu
 
Mshangama....atakuwa comorian huyu. Jamaa yangu lkn siungi mkono hoja yake
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hili nalo neno...huku mtandaoni ukibeba kila jambo itakula kwako wewe peke yako
 
"hapo zamani, hapo zamani" [emoji445]

"Mambo yalikuwa shwari" [emoji445]

"Kinyume na Sasa kinyume na saaa!!! "[emoji445]

"Mambo yamebadilika"[emoji445]
 
Hatuna house girl,shughuli za mwanamke atafanya yeye na za mwanaume nitafanya mimi...
 
ZAIDI ya mwili wao na kutupa stress kipi Cha ZAIDI kujivunia,tunazaa watoto wao ndio wanufaika wakubwa wa watoto mama kila mwaka atatumiwa ticket akale sikukuu mjini we usipojiongeza ujanani uzeeni utamkumbuka mama yako mzazi.
 
Tupo karne ya 21 wewe unatuletea mawazo ya karne ya 1.... eti majukumu ya Mwanamke ni nyumbani na kuwajibika kwa mumewe pekee,

Amka usingizini, Dunia imedevelop.
 
Nikishamlipa mshahara kwa kazi anayofanya, napendekeza yafuatayo:-

1. Asiwe na haki ya umiliki wa Mali zangu,
2. Alipie kodi ya pango anapoishi
3. Ajihudumie mavazi na huduma za Afya.
4. Mimi nitahudumia watoto tu
Hivi housegirl mbona unamlipa mshahara na anakula kwako, analala kwako, halipi kodi na akiugua unamhudumia, sembuse mke ambaye anakupa na papuchi ya bure kila siku?
 
Well said πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘.

Wataounga mkono wengi wa wanawake ni wavivu lkn kama umezoea kufanya kazi za ndani kama hobby unaona kawaida tu. Kwanza mwanamke ukifanya yote hayo unalipwa thawabu and to me that credit is more valuable than kulipwa pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…