varangati
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,726
- 1,628
Acha zako ww kama ww hupendi basi wengi wamependa kama vipi kunywa maji bhana Siku ukiona wanamuongelea alikiba badili channel au zima TV yako maana umenunua mwenyewe hulazimishwi kuangaliaLeo asubuhi kwenye kipindi cha Clouds 360 ,nilishuhudia kina Ngoma na wenzake wakimsifia Ali Kiba eti katoa wimbo mzuri ukifanya nchi ya Tanzania na Afrika mashariki yote izizime kwa ajili ya wimbo wake wa Seduce me, Mimi binafsi bado sijajua kwa nini watu wachanganyikiwe na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake pale unapousikiliza? Kwa nini clouds wasimamishe mambo waliyopanga kuongelea kwa siku hiyo mpaka wamuongelee Kiba na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app