Hawa jamaa ni wanazi wa Ali Kiba?

Hawa jamaa ni wanazi wa Ali Kiba?

Leo asubuhi kwenye kipindi cha Clouds 360 ,nilishuhudia kina Ngoma na wenzake wakimsifia Ali Kiba eti katoa wimbo mzuri ukifanya nchi ya Tanzania na Afrika mashariki yote izizime kwa ajili ya wimbo wake wa Seduce me, Mimi binafsi bado sijajua kwa nini watu wachanganyikiwe na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake pale unapousikiliza? Kwa nini clouds wasimamishe mambo waliyopanga kuongelea kwa siku hiyo mpaka wamuongelee Kiba na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha zako ww kama ww hupendi basi wengi wamependa kama vipi kunywa maji bhana Siku ukiona wanamuongelea alikiba badili channel au zima TV yako maana umenunua mwenyewe hulazimishwi kuangalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha zako ww kama ww hupendi basi wengi wamependa kama vipi kunywa maji bhana Siku ukiona wanamuongelea alikiba badili channel au zima TV yako maana umenunua mwenyewe hulazimishwi kuangalia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha! Huku tulipofika kubaya,yani watu wanafikia hatua hadi ya kutaka washindani wao wabaniwe promo na kupewa moyo,ila wapewe wao tu.
 
Mi sina Tim ila kuwa mwaminifu wimbo wa kiba Seduce me ni mbaya sio siri, sijui wenzangu huwa wana vigezo vipi kusema kuwa wimbo ni mzuri, wa Diamond Zilipendwa pia sijaupenda ila zikiletwa zote nichague mmoja nachagua wa Diamond maana una kauafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo unausikilza kwenye headphones za kichina! Hahahahaha
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu mchezo hauhitaji hasiraa
Seduce meeee!!!haijawahi kumuacha mtu salama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wavumilie tuuu, na hivyo nyimbo za King hazichujagi!! Wachuke viti wakae.
 
Hivi na siku ile diamond alivyopewa mualiko na kina bebikabae asubuhi,na rais mpendwa akapiga simu na kuzungumza nao,hakukuwa na mambo mengi ya kuzungumzia yanayogusa maslahi ya nchi?
Rais alimpongeza kwa sababu Mondi anapeperusha bendera ya nchi ,hakupiga simu na kuanza kusifia wimbo flani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatuhusu kama mojawapo ya hayo yanayohusu nchi, Kiba ni mwanamuziki wa Kitanzania, analipa kodi kupitia kazi zake, anaitangaza nchi kupitia kazi zake.

And ofcoz kazi na dawa, kipindi kilizungumzia mambo mengi tuuu, hukuyaona hayo yooote ukaja kuona hilo la Kiba tu!!! Je kipindi chote kutoka 12:00asubuhi hadi saa4:00 asubuhi kiliongelea huo wimbo tu?
Mambo mengi yaliyokuwa yanafusa maudhui ya kipindi,suala la kusifia wimbo halikuendana na maudhui ya kipindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajitekenya na kucheka wenyewe! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahaha! Tatizo wanawivu uliopitiliza.sasa naanza kuamini na lile swala la kuzimiwa mic Mombasa,yaweza kuwa kweli.maana kiba alivyokuwa analalamika sikuamini hata kidgo kuwa yawezekana kweli.kumbe hii team mond ina husda sana,wanataka kila kitu wawe wao tu.
 
Hahahahaha! Tatizo wanawivu uliopitiliza.sasa naanza kuamini na lile swala la kuzimiwa mic Mombasa,yaweza kuwa kweli.maana kiba alivyokuwa analalamika sikuamini hata kidgo kuwa yawezekana kweli.kumbe hii team mond ina husda sana,wanataka kila kitu wawe wao tu.
Waugue pole tu, seduce me ndio ishashika hivyo! Labda wazime mitandao na redio zote sasa!
 
Back
Top Bottom