kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,097
- 5,348
- Thread starter
- #21
Acha kabisa ile ngoma yangu pendwa. Nashukuru ferouz alileta maringo maana ndiye ilikuwa aimbe chorus ikabidi majani akae mwenyewe na nadhani alifanya kitu bora kuliko ambavyo angefanya ferouz.Nyimbo nyingi zenye auto-tune zilikuwa kali sana, Mfano ile ya P-Funk haya yote ni maisha na Roho Saban nakupenda HipHop
Kuna na ile ngoma ya wachuja nafaka, ya leo kali ile sehemu ya bridge na intro pale inasema. Ya leo kali ya leo kaliii