Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Powa nimekupata mkuuKuna watu mpaka tufaulu inahitaji tusome huku wengine wana vichwa vya kuelewa haraka. Nilijikita zaidi kwenye muziki nikaacha kusoma, kila mara nasikia tu beats na rhymes kichwani na nilikuwa ndicho kipindi nilichokuwa form 4. Kilichonishtua ni matokeo ya mock, na si kwamba nilifail, nilifaulu vizuri tu lakini si kwa kiwango ambacho nilipaswa kufaulu.
Anapiga kazi za sound kwenye seminar, mikutano ya serikali.Na allan mapigo je?
Kumbe watu wamejiongeza. hivi b-hits bado ipo? Maana toka pancho latino afariki sijasikia goma mpya and by the way toka ule upepo wa weusi na akina vanessa kuhama bhits nilikuwa ni nadra kusikia ngoma kutoka huko.Anapiga kazi za sound kwenye seminar, mikutano ya serikali.
Haipo. Hermy B yupo efm/etv ni mkuu wa vipindiKumbe watu wamejiongeza. hivi b-hits bado ipo? Maana toka pancho latino afariki sijasikia goma mpya and by the way toka ule upepo wa weusi na akina vanessa kuhama bhits nilikuwa ni nadra kusikia ngoma kutoka huko.
Sasa mkuu mbona tunaambiwa s2kizzy analipisha hadi milioni au ni mastori tu?Haipo. Hermy B yupo efm/etv ni mkuu wa vipindi
Nilichokuambia ni kuwa studio bongo ni uwekezaji kichaa. Studio ilifeli baada ya kuanza kulipisha wasanii tena kwa pesa kubwa(laki 7 kwa wimbo)
Ukishaanzahivuo tu Hakuna msanii wa maana atakuja na mwisho utafunga mwenyewe tu. Wasanii wanataka kurekodi bure
Uliza maswali kuhusu muziki bongo na wasanii leo nina muda mzuri, mm ndio mrithi wa ruge clouds fm😁😁😁
Nazeeka hiviAcha kabisa ile ngoma yangu pendwa. Nashukuru ferouz alileta maringo maana ndiye ilikuwa aimbe chorus ikabidi majani akae mwenyewe na nadhani alifanya kitu bora kuliko ambavyo angefanya ferouz.
Kuna na ile ngoma ya wachuja nafaka, ya leo kali ile sehemu ya bridge na intro pale inasema. Ya leo kali ya leo kaliii
Porojo hizo anaujua ukweli, lakini pia ni namna ya kujibrand so wakienda wasanii wachanga anawapiga kweli hivyoSasa mkuu mbona tunaambiwa s2kizzy analipisha hadi milioni au ni mastori tu?
Hivi ndicho pia kilichomtokea Nahreal? Maana ghafla ni kama watu wote wahama wakati kuna kipindi alikuwa anagonga ngoma za wasanii wote wakubwa.
Pia nadhani studio ni producer, naona switch siku hizi toka maproducer walivyoondoka nayo siisikii, maana aliondoka lufa ikaendelea, akaondoka s2kizzy nadhani hapo ndipo ikawa basi.
Naona switcher yuko busy na juakali.
Ila nadhani studio za voice over zinalipa, si naona jamaa wa downtown records anapiga sana voice overs.
Umenikumbusha harakati fulani za kishule na kimtaaKwanini mkuu?
switch record bado inapiga kazi chini ya producer AmmyPorojo hizo anaujua ukweli, lakini pia ni namna ya kujibrand so wakienda wasanii wachanga anawapiga kweli hivyo
Yaah, studio ukishaanza kulipisha unakimbiwa. Music production kwa sasa imekua rahisi sana, madogo wngi wanaweza kupiga beats vizuri tu. Sasa ya nn ukomae na mtu anataka kukulipisha mamilioni ikiwa unaweza kufungua studio yako home kwa mil 5 tu
Switch records alianza na nahreel, but akaondoka, wakaja hao kina lufa. Hata uwe na producers wakali bado utashindwa kuiendesha tu. Mwisho akaamua kuifunga
Studio za voice over? Ni hizo hizo lakini kazi za voice over ni chache na wanapewa watu fulani ambao wao watatafuta studio( Ditto hii ndio kazi yake sasa) , wakiwa studio stories zilezile tu ukiwa mgumu sana inatafutwa studio nyingine. D money wa downtown yeye ni zaidi ya hivyo
lakini down town naona anagonga voice over nyingi za hizi tamthlia za azam. Nilikuwa na project ya voice over ya tamthlia ya kituruki, nikamchek bei aliyonipa nilitoka nduki.Porojo hizo anaujua ukweli, lakini pia ni namna ya kujibrand so wakienda wasanii wachanga anawapiga kweli hivyo
Yaah, studio ukishaanza kulipisha unakimbiwa. Music production kwa sasa imekua rahisi sana, madogo wngi wanaweza kupiga beats vizuri tu. Sasa ya nn ukomae na mtu anataka kukulipisha mamilioni ikiwa unaweza kufungua studio yako home kwa mil 5 tu
Switch records alianza na nahreel, but akaondoka, wakaja hao kina lufa. Hata uwe na producers wakali bado utashindwa kuiendesha tu. Mwisho akaamua kuifunga
Studio za voice over? Ni hizo hizo lakini kazi za voice over ni chache na wanapewa watu fulani ambao wao watatafuta studio( Ditto hii ndio kazi yake sasa) , wakiwa studio stories zilezile tu ukiwa mgumu sana inatafutwa studio nyingine. D money wa downtown yeye ni zaidi ya hivyo
ndioammy ndiye aliyegonga wapolo ile ya weusi?
Anayejua hizi nyimbo kafanya producer gani?
Switch aliifungaswitch record bado inapiga kazi chini ya producer Ammy
Bado, haimpi hivyo ana yake menginelakini down town naona anagonga voice over nyingi za hizi tamthlia za azam. Nilikuwa na project ya voice over ya tamthlia ya kituruki, nikamchek bei aliyonipa nilitoka nduki.
Yah kweli studio now imekuwa rahisi kufungua, hata mimi nina studio ya voice over home nikiongeza keyboard, na mid controllers, na kuinstall DAWs bila shaka inakuwa ya muziki.
Vipi buzz man maana nasikia alikuwa mkali wa strings enzi hizo.