Hawa jamaa wa Iringa chini ya Producer Ambha walitisha sana

Ubarikiwe sana uliyeleta uzi huu. Umenikumbusha Maisha halisi niliyopitia Malangali High School. Nilirekodi wimbo mmoja kwa Amba -AB Records. Baadaye nikarekodi pia kwa Lamar akiwa karibu na Jengo la Yanga 'Fish Crab Cook out'. Nilibakia kuzisikiliza ndani nyimbo hizo. Nikaacha kabisa muziki baada ya Mtangazaji mmoja Nguli kuniambia muziki utakupotezea mwelekeo wako kwenye Fani unayosomea. Pia kila niliposikiliza nyimbo zangu sikujiona km napenya katikati ya akina Prof J waliokuwa wa moto balaa. Nikamfuata Afande Sele nyumbani kwake Misufini-Moro kumuomba ushauri, akaniambia, "Kama unaweza kusoma na kuajiriwa mdogo wangu, fanya hivyo. Muziki umeshikwa na watu katili sana. Kama huna wa kukushika mkono utaishia kwenye msongo wa mawazo na kujidhuru." Heshima kwa Brother Yaki Mtu poa sana. Kila tukikutana kwenye majukumu au mtaani ni Mtu na Nusu 👏👏👏👏👏
 
Noma sana mzee umepiga harakati nyingi sana. Muziki sio poa unaweza kukutoa kwenye reli.... nilipata performance mbaya sana form 4 kisa muziki. A level bado nikaamua kuendeleza harakati nimeenda sana tetemesha na kwa q the don, lakini mara hiyo si kama msanii bali nawasindikiza vijana niliokuwa naamini wanaweza toboa. Mwisho ela ya matumizi tunachanga tunapeleka studio na hakuna hata track moja iliwahi kwenda redioni.
Muziki siyo, we mcheki Lamar kaachana na mambo ya muziki akiwa bado kwenye peak nadhani kwa kipindi hicho haukuwa unalipa kivile.
 
Wewe ni aswile wa TBC au?
 
Acha kabisa Broo, enzi hizo natoa hadithi zangu gazeti la Mwananchi, nikilipwa napeleka Pesa Studio. Ukisharekodi kumfikia Baba Wawili pale Ebony au DJ Fetty na wengine sio rahisi. Japo kwangu kilichonishinda 'Maisha yaliyo kwenye muziki' niliona siyawezi kabisa.

Aisee ni hatari sana. Nadhani zama zangu ndipo ile trend ya kila kijana kutaka kuwa mwanamuziki yani kila nyumba unakuta kuna mtu anaimba.
Sasa hii imeenda sasa hivi kila nyumba unakuta kuna mtu anataka kuwa social media influencer.
Jana nimecheka nilikuwa nacheki youtube huko black fulani anasema, kinachowaponza vijana wa black community ni kila kijana kutokuzingatia masomo akihisi atatokea kwenye muziki. yani anasema vijana marekani wao busy na kumiziki wakati kati ya watu 10,000 anayetoboa ni 1. Mbali wanaenda zaidi kuwakandia vijana blacks wenzao wanaosoma kwa kuwaita kuwa ni weusi kwa ngozi lakini wana act kama whites.
 
Acha kabisa ile ngoma yangu pendwa. Nashukuru ferouz alileta maringo maana ndiye ilikuwa aimbe chorus ikabidi majani akae mwenyewe na nadhani alifanya kitu bora kuliko ambavyo angefanya ferouz.
Kuna na ile ngoma ya wachuja nafaka, ya leo kali ile sehemu ya bridge na intro pale inasema. Ya leo kali ya leo kaliii
Uongo, feruzi na hiyo ngoma wapi na wapi
 
Wakati marlow anatoka nadhani ndicho kipindi z anto naye anatoka toka pia ndipo cinderella ya alikiba nayo ikaingia mjini. Yani hizo ngoma tatu zilikuwa zinapigwa kwa kufuatana.
Hivi kgt yupo? Hata sura yake sijawahi kuona jamaa.
Omary Kombo a.k.a KGT sasa hivi amekua Ras.

Yupo bado anafanya music Ila hakuna mainstream artist anaweza kwenda kurekodi kwake. Muda ushamuacha
 
Wasanii wa bongo fleva zamani wengi "upstairs" walikuwa njema saana.
Sio kweli, wengi upstairs walikua empty head. Wa sasa ndio wako vizuri upstairs ndio maana wamefanya music umekua na pesa nyingi sana

Zamani tour nzima msanii akirudi anapewa maneno matupu bila hata mia na anakubali. Sasa hivi unaweza mzungusha bure tour hata chino tu atakubali?
 
Ubarikiwe sana uliyeleta uzi huu. Umenikumbusha Maisha halisi niliyopitia Malangali High School. Nilirekodi wimbo mmoja kwa Amba -AB Records. Baadaye nikarekodi pia kwa Lamar akiwa karibu na Jengo la Yanga 'Fish Crab Cook out'. Nilibakia kuzisikiliza ndani nyimbo hizo. Nikaacha kabisa muziki baada ya Mtangazaji mmoja Nguli kuniambia muziki utakupotezea mwelekeo wako kwenye Fani unayosomea. Pia kila niliposikiliza nyimbo zangu sikujiona km napenya katikati ya akina Prof J waliokuwa wa moto balaa. Nikamfuata Afande Sele nyumbani kwake Misufini-Moro kumuomba ushauri, akaniambia, "Kama unaweza kusoma na kuajiriwa mdogo wangu, fanya hivyo. Muziki umeshikwa na watu katili sana. Kama huna wa kukushika mkono utaishia kwenye msongo wa mawazo na kujidhuru." Heshima kwa Brother Yaki Mtu poa sana. Kila tukikutana kwenye majukumu au mtaani ni Mtu na Nusu 👏👏👏👏👏
Bora uliacha aisee, kabisa unaenda kuomba ushauri wa muziki kwa afande sele ili utoke?
Au ulifata mibangi? 😂😂
 
Noma sana mzee umepiga harakati nyingi sana. Muziki sio poa unaweza kukutoa kwenye reli.... nilipata performance mbaya sana form 4 kisa muziki. A level bado nikaamua kuendeleza harakati nimeenda sana tetemesha na kwa q the don, lakini mara hiyo si kama msanii bali nawasindikiza vijana niliokuwa naamini wanaweza toboa. Mwisho ela ya matumizi tunachanga tunapeleka studio na hakuna hata track moja iliwahi kwenda redioni.
Muziki siyo, we mcheki Lamar kaachana na mambo ya muziki akiwa bado kwenye peak nadhani kwa kipindi hicho haukuwa unalipa kivile.
Hiyo performance yako mbaya o level haikuhusiana na muziki, uwezo wako darasani ulikua mdogo usitafute visingizio.

Si kila anayefanya muziki lazima afanikiwe, kufanikiwa inategemea na wewe mwenyewe. Ni Kama soka tu, au fani nyingine sio kila mtu anaweza kufanikiwa.

Lamar alikua producer sio mwanamuziki. Producer kwa bongo huwezi pata pesa, wasanii wanarekodi bure, hivyo uwe kwenye peak au uwe chini itafikia muda mwenyewe utaacha tu
 
Kuna watu mpaka tufaulu inahitaji tusome huku wengine wana vichwa vya kuelewa haraka. Nilijikita zaidi kwenye muziki nikaacha kusoma, kila mara nasikia tu beats na rhymes kichwani na nilikuwa ndicho kipindi nilichokuwa form 4. Kilichonishtua ni matokeo ya mock, na si kwamba nilifail, nilifaulu vizuri tu lakini si kwa kiwango ambacho nilipaswa kufaulu.
 
Back
Top Bottom