Hawa jamaa wa Iringa chini ya Producer Ambha walitisha sana

Hawa jamaa wa Iringa chini ya Producer Ambha walitisha sana

hiyo ngoma ya country ina miezi mitatu ameifanya ammy wave
Kwa hiyo ww ukiona wimbo kafanya ammy unajua kafanya switch records? Quick racka aliifunga hiyo studio muda mrefu tu

Huo umefanywa Bextra records.
 
nyingine hiyo imefanywa na ammy aina hata mwaka
Mkuu huenda hatuelewani. Studio ikifungwa na producer nae anaacha kufanya music moja kwa moja? Yeye alikua muajiriwa, studio inafungwa anahamia kwingine
 
Mkuu huenda hatuelewani. Studio ikifungwa na producer nae anaacha kufanya music moja kwa moja? Yeye alikua muajiriwa, studio inafungwa anahamia kwingine
inawezekana but haina hata mwaka tangu ifungwe coz kuna ngoma nazijua zimetoka switch ndani ya mwaka huu
 
kwa maelezo yako ammy ameokoka anafanya gospel
Unapaswa kuelewa kwanza ndio maana nilirekebisha hiyo comment. Nilisema switch records imefungwa, ww ukassma haijafungwa, yupo ammy. Ammy wapo wawili, ammy music na ammy waves. Nikagundua unamzungumzia ammy waves wakati mm nilitaka kumzungumzia ammy music.

But hoja ilikua studio ya switch records kufungwa au bado ipo. Studio imefungwa
 
inawezekana but haina hata mwaka tangu ifungwe coz kuna ngoma nazijua zimetoka switch ndani ya mwaka huu
Acha uongo quick rocka kafunga hiyo studio muda mrefu tu. Ngoma gani hiyo imerekodiwa switch? Inarekodiwa vipi na studio imefungwa?
 
Unapaswa kuelewa kwanza ndio maana nilirekebisha hiyo comment. Nilisema switch records imefungwa, ww ukassma haijafungwa, yupo ammy. Ammy wapo wawili, ammy music na ammy waves. Nikagundua unamzungumzia ammy waves wakati mm nilitaka kumzungumzia ammy music.

But hoja ilikua studio ya switch records kufungwa au bado ipo. Studio imefungwa
kama topic ni switch basi ungenielewa moja kwa moja nilivyosema ammy kuwa namaanisha ammy waves, sasa namimi nimekuelewa
 
Ambha alikua vizuri sana alijaribu kuiheshimisha iringa kwa wakati wake..
Kuna msanii wake mwingine alikua anaitwa E2K sijui yupo wapi yule mwamba.
Ambha Kuna kipindi alicha habari za music production akafungua bakery ameuza sana mikate akisaidiana na binamu yake kenani- Sasa hivi ni RC simiyu
Sijui kama Bado anaendelea na bakery ila sasahivi namuona Instagram amekua pastor.
 
kama topic ni switch basi ungenielewa moja kwa moja nilivyosema ammy kuwa namaanisha ammy waves, sasa namimi nimekuelewa
Nilishaelewa kabla hujaniambia ndio maana uliona niliweka sawa.

Back to the topic, switch records ilifungwa. Mjadala wetu ndio ulipo hapo. Na haijafungwa jana wala juzi ni muda mrefu
 
Acha uongo quick rocka kafunga hiyo studio muda mrefu tu. Ngoma gani hiyo imerekodiwa switch? Inarekodiwa vipi na studio imefungwa?
kama imefungwa iliwezaje kufanya production ya album ya lunya
IMG-20241205-WA0082.jpg
 
Acha uongo quick rocka kafunga hiyo studio muda mrefu tu. Ngoma gani hiyo imerekodiwa switch? Inarekodiwa vipi na studio imefungwa?
kusema ngoma gani imerekodiwa? inamaana hadi usikie wewe hiyo ngoma ndio uamini switch inafanya kazi! switch haijawahi kufungwa tangu inaanza production
 
Album ni collection ya nyimbo, ambazo hazirekodiwi siku moja. Hapo kuna nyimbo/wimbo alifanya pengine muda mrefu ndio maana unaona zingine zimefanywa studio zingine

Imebidi nitafute video ya quiick akizungumzia kuifunga studio

View: https://www.youtube.com/watch?v=uNkzJGdPB60

hakuna kipande alichosema ameifunga studio. amesema alifunga record label so jaribu kutofautisha studio na record label
 
Walikuwa na binti fulani alikuwa ana sauti nzuri kwenye show yao, alikuwa kama dj fetty wao.
Aisee muda unakimbia kipindi hicho nasoma nsumba mwanza A level miaka ya 2007-2009 now naelekea uzee
Sharifa Abubakari.
 
Back
Top Bottom