sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Studio ya Amba inaitwa AB Records na pindi Marlaw anafanya bembeleza, Tuddy Thomas alikuwa Iringa records na bwana Temmy GMkuu nililenga ambha records na marlow alitokea kwa tuddy thomas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Studio ya Amba inaitwa AB Records na pindi Marlaw anafanya bembeleza, Tuddy Thomas alikuwa Iringa records na bwana Temmy GMkuu nililenga ambha records na marlow alitokea kwa tuddy thomas
Sasa Afande Sele kimuziki unamchukulia poa?? Unashangaa kabisa mtu kuomba ushauri kwa Mfalme wa Rhymes?Bora uliacha aisee, kabisa unaenda kuomba ushauri wa muziki kwa afande sele ili utoke?
Au ulifata mibangi? 😂😂
Tupeni mifano wa hayo mambo coz watoto wetu wanatusumbua mno! Mtoto anakuambia anataka awe kama Diamond!Kwa kifupi mambo yapo ndivyo sivyo na yanavyoonekana nje
Shukrani sana chief ubarikiwe
E2K ni wakili wa kujitegemea na pia wakala wa wachezaji wa soka. Yupo DarAmbha alikua vizuri sana alijaribu kuiheshimisha iringa kwa wakati wake..
Kuna msanii wake mwingine alikua anaitwa E2K sijui yupo wapi yule mwamba.
Ambha Kuna kipindi alicha habari za music production akafungua bakery ameuza sana mikate akisaidiana na binamu yake kenani- Sasa hivi ni RC simiyu
Sijui kama Bado anaendelea na bakery ila sasahivi namuona Instagram amekua pastor.
Ndio ila ya nyimbo za dini na ni kwa appointment.anaendelea na production ?
Hii ni mateso mengi, aliimba Tedo tz, ambaye kwenye Tonight ya Yaki ndio anayeimba ile verse ya mwishoNyimbo nyingi zenye auto-tune zilikuwa kali sana, Mfano ile ya P-Funk haya yote ni maisha na Roho Saban nakupenda HipHop
Omary Kombo a.k.a KGT sasa hivi amekua Ras.
Yupo bado anafanya music Ila hakuna mainstream artist anaweza kwenda kurekodi kwake. Muda ushamua
Hivi yule jamaa hakuwa mkenya?.. nilikuwa namuona pale Kino mkwajuni/moscow ... kuna ka studio flan kilianzishwa na jamaa yangu alikuwa anakujaga kurecord... kipindi hicho kama mtu hana ndoto ya kuwa mwanamuziki basi ana ndoto ya kuanzisha studioOmary Kombo a.k.a KGT sasa hivi amekua Ras.
Yupo bado anafanya music Ila hakuna mainstream artist anaweza kwenda kurekodi kwake. Muda ushamuacha
FL studio ilileta shida sana zama hizo. Halafu sio TZ tu duniani kote vijana FL iliwasaidia sana kuweza kuwa ma beat maker. WE fikiria mwamba Allan Walker ngoma zake kali zote kazigonga via FL studio kwa kujifunz amwenyewe home na anakwambia alijaribu software zingine akaona zinazingua akarudi kwa FL. Kipindi naanza kuitumia ilikuwa ni fruity loops. Yani niliona ndicho kitu kizuri ambacho niliwahi kukiona kwenye computer.Hivi yule jamaa hakuwa mkenya?.. nilikuwa namuona pale Kino mkwajuni/moscow ... kuna ka studio flan kilianzishwa na jamaa yangu alikuwa anakujaga kurecord... kipindi hicho kama mtu hana ndoto ya kuwa mwanamuziki basi ana ndoto ya kuanzisha studio
Sasa kuna mtu alinambiaga anatokea kenya
Kuna hii ngoma pia alifanya Amba, ilikuwa hatari sana enzi hizo.
Man Kichefu - Utanikumbuka, sasa hivi huyu msanii ni wakili wa kujitegemea.
View: https://youtu.be/XI3itiuHifY?si=JTvb66TFIVw0i-qi
Sasa kama wana record bure, kina P funk, master Jay, yule mzungu producer jina limenitoka walikuwa wanapata vipi pesa.. na hawa wasanii wakubwa wana record kwao na wanaingiza pesa kina wagosi, kina Mwana Fa, kina prof JHaipo. Hermy B yupo efm/etv ni mkuu wa vipindi
Nilichokuambia ni kuwa studio bongo ni uwekezaji kichaa. Studio ilifeli baada ya kuanza kulipisha wasanii tena kwa pesa kubwa(laki 7 kwa wimbo)
Ukishaanzahivuo tu Hakuna msanii wa maana atakuja na mwisho utafunga mwenyewe tu. Wasanii wanataka kurekodi bure
Uliza maswali kuhusu muziki bongo na wasanii leo nina muda mzuri, mm ndio mrithi wa ruge clouds fm😁😁😁
Hata hii ngoma ya Rama D hapo kwenye bridge alikuwa ni Amba mwenyewe..bado anaendelea na harakati za muziki? halafu hizo chorus za autotune nasikia zilikuwa sauti za ambha mwenyewe.
Hata hii ngoma ya Rama D hapo kwenye bridge alikuwa ni Amba mwenyewe..
View: https://youtu.be/5-2pUR0umtI?si=lhgbSLSpGP_0H8p6
Duh mkuu bado tu umekaza? Basi sawa ipo na inafanya kaziamesema ameifunga record label, na kumbukumbu yangu wasanii wake wa mwisho kuwa label ni OMG na hata baada ya OMG kufa studio imeendelea kufanya kazi kama kawaida
Simchukulii powa Ila sjo mtu anaweza kumsaidia mtu kimuziki na kufika mbali. Huo uwezo ndio HanaSasa Afande Sele kimuziki unamchukulia poa?? Unashangaa kabisa mtu kuomba ushauri kwa Mfalme wa Rhymes?
Vanessa baada ya kuacha music kuna ambavyo kazungumza, alivyozungumza hakuna mtu mwingine anaweza kuzungumza kwa uwazi vile. Mimi nisikueleze chochote maana naweza kukuongopea pia. Wewe katafute you tube alivyozungumza, alafu kichukue kama kilivyo maana ndio ukweli wenyeweTupeni mifano wa hayo mambo coz watoto wetu wanatusumbua mno! Mtoto anakuambia anataka awe kama Diamond!