Acha kabisa ile ngoma yangu pendwa. Nashukuru ferouz alileta maringo maana ndiye ilikuwa aimbe chorus ikabidi majani akae mwenyewe na nadhani alifanya kitu bora kuliko ambavyo angefanya ferouz.Nyimbo nyingi zenye auto-tune zilikuwa kali sana, Mfano ile ya P-Funk haya yote ni maisha na Roho Saban nakupenda HipHop
Acha kabisa ile ngoma yangu pendwa. Nashukuru ferouz alileta maringo maana ndiye ilikuwa aimbe chorus ikabidi majani akae mwenyewe na nadhani alifanya kitu bora kuliko ambavyo angefanya ferouz.
Kuna na ile ngoma ya wachuja nafaka, ya leo kali ile sehemu ya bridge na intro pale inasema. Ya leo kali ya leo kaliii
Yes, Farida ni Mke halali wa Roho Saba (Jacob Kindole).Roho Saba alimuoa Farida?
Yah mkuu.Hivi ilibidi aimbe Ferouz, aheri hakuimba. Halafu kuna ngoma moja ya Pasu kwa Pasu (PKP) waliimba na mtu ana kisauti kidogo hivi, naitafuta sanaaa.
Naam, hiyohiyo nakumbuka nilikuwa naisikiliza sana Kiss Fm- African Beats 2006. Hivi naweza kuipata wapi ile ngoma?Yah mkuu.
Mimi kuna ile tunabang, waliimba na mwanadada anaitwa mwaija naikubali sana.
Halafu kuna ile inaitwa fifty fifty, noma sana
Kiss FM na mwamba D7 (rip)Naam, hiyohiyo nakumbuka nilikuwa naisikiliza sana Kiss Fm- African Beats 2006. Hivi naweza kuipata wapi ile ngoma?
Tunabang hii hapa :Naam, hiyohiyo nakumbuka nilikuwa naisikiliza sana Kiss Fm- African Beats 2006. Hivi naweza kuipata wapi ile ngoma?
Jeff JerryKiss FM na mwamba D7 (rip)
Umetisha sana Alwatan 🫡
Nmeshangaa😀Mbona hukumtaja Marlow?
Mkuu ngoma ya Tunabang ya Mapacha nimekuwekea hapo Chini.Naam, hiyohiyo nakumbuka nilikuwa naisikiliza sana Kiss Fm- African Beats 2006. Hivi naweza kuipata wapi ile ngoma?
Walikuwa na binti fulani alikuwa ana sauti nzuri kwenye show yao, alikuwa kama dj fetty wao.Jeff Jerry
Dj Maliz
D7
Kiss was the best.....
Nadhani mwaka jana.Mkuu D7 alishafariki yule jamaa?
Bembeleza alitengeza Tuddy?Mkuu nililenga ambha records na marlow alitokea kwa tuddy thomas
OkayYah bembeleza aliitengeneza tuddy na baada ya hapo akahamia dsm na kuwa producer mkubwa sana
Walikuwa na binti fulani alikuwa ana sauti nzuri kwenye show yao, alikuwa kama dj fetty wao.
Aisee muda unakimbia kipindi hicho nasoma nsumba mwanza A level miaka ya 2007-2009 now naelekea uzee