Hawa madereva wa serikali waangaliwe kwa umakini sana watawaua viongozi wetu wote


Tatizo kubwa ni kwa madereva wa kitanzania wengi kutokufuata sheria za usalama barabarabani; huenda kwa kutozijua au kwa makusudi. Zaidi ya 85% ya ajali za barabarani Tanzania hutokana na uzembe wa madereva kutokufuata sheria za usalama barabarani. Kulingana na uharibifu wa magari yaliyohusika kwenye ajali hii, unaona wazi kuwa dereva alikuwa spidi ya juu sana, na huende nje ye speed limit.

Endelea kutetea upuuzi, hao watu hawana akili kabisa, wengi wanavunja sheria za barabarani na ku-overtake kwenye milima na kona kali bila kujali

Sasa wewe hapa wewe ndugu MIXOLOGIST sijui umeaqndika nini kujibu posit ya ndugu Jidu La Mabambasi . Wakati mwingine ni vizuri kutokujibu kabisa kuliko kuandika katika sytle ya ubishi bila kujua unachobiasha.
 
Mkuu huyo MIXOLOGIST alikuwa anapata serengeti ya jioni!
 
angalia hii

Asante mkuu.
Picha hii inaelezea vizuri kile kilichotokea.
Kwa nyuma tunaon magari yaliyosimamishwa.
Mwenye lori katoka lane yake kaingia upande wa kulia.
Gari ya serikali iko njia yake.
Wamejaribu kukwepana wameishia wote kubamizana nje ya barabara.
Matokeo yake tunayajua wote.
 
Hizo ni hard facts mkuu
 
Kwanza, nikutoe wasiwasi sihitaji kuendeshwa na kujiendesha kwa hela za walipa kodi. Mimi ndiye yule mlipa kodi mwenyewe

Pili, wewe kama dereva unayetumia makalio bosi wako akikuambia ubong'oe akusimike kidole utafanya?

Dereva yoyote au mtumishi yoyote wa umma anapswa kutii amri halali

Tatu na mwisho, hii ni akili kubwa, mjikusanye kijiji kizima wewe na wanawake wenzako mliokeketwa ndiyo mje mpambana na mimi
 
Ukiona watu wanajifanya wako juu hata polisi hawawasimamishi barabarani ndio yakitokea haya utasikia ooh mwenye makosa sio wa serikali ooh kulikuwa na utelezi , yaani sababu chungu nzima ila unakuta uhai wa mtu umeshaondoka.
 
Pia ukiangalia vizuri, inaonekana huyo dereva wa Katibu Tawala hakuwa na tahadhari, alikuwa speed kubwa(pamoja na kwamba tatizo ni la mwenye lorry).
 
Mkuu mbona unaongea uharo? Kati ya kiongozi anaendeshwa na dereva anaendesha ni nani anaamua gari likimbie kwa mendo upi
Huu ujinga huwa mnajifunzia wapi? Dereva anatakiwa aendeshe chombo kwa mujibu wa sheria za barabarani, kwa hivyo wewe kama dereva bosi wako akikuambia akugonge kidole makalioni huku unaendesha utatii?

Ujinga ni mwingi sana
 
Dereva alikuwa haraka kumkimbiza RAS kwa ajili ya kumpokea Mh Makamu wa Rais, dereva wa RC ndiye alisababisha ajali, yeye ali overtake gari alafu ghafla mbele kalivaa karandinga la mitungi ya gesi. Wakiwa barabarani wanaona barabara yote ni ya kwao hawajali chochote.
 
Wanapewa madereva qualified kabisa ila hawawataki kwasababu wanahisi wanaweza wakawafanyia mchezo mibaya kwa maksudi pamoja na kutegeshewa ajali hvyo wengi wao wanaendeshwa na ndugu au marafiki zao wa karibu.
 
Mkuu mbona unaongea uharo? Kati ya kiongozi anaendeshwa na dereva anaendesha ni nani anaamua gari likimbie kwa mendo upi
Boss akikalia massaging seat unazani mwendo anausikia😂😂😂, anambiwa tu tumefika anaitikia Very Good, chuma inapack
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…