Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
Wewe umeleta jambo jioya ambalo halifahamiki na wengi. Na "uthibitisho uko juu ya mwenye kudai". Hivyo thibitisha.Wewe ndio WA kudhibitisha Mimi nafahamu,,,fanya utafiti
Atupe hio source ya hii TaarifaKama source yako ni Movie na Google basi sina hata haja ya kubishana nawewe.
Na si bure hata kwenye Google hujasearch vitabu umetype tu
Kwahio ili niwe Mwislamu natakiwa niwapende waarabuYani wewe unajionyesha wazi kuwachukia waarabu, kwa taarifa yako tu, hakuna jamii iliyo na utu, ukarimu kama waarabu. Na usifikiri kuwachukia kwako waarabu ndio na wengine tukufuate, hilo liondoe akilini mwako, na Muisilamu ambae anawachukia waarabu huyo sio muisilamu wa kweli, bali ni jina tu, na wala hajasoma dini.
Bhujiku ng'waka
Kwahio ili niwe Mwislamu natakiwa niwapende waarabu
Ndo maana siwezi kufuata huu upuuzi wenu wa Dini
Kuna watu wanajifanya ooh nimeenda uarabuni na kuona weusi wanavyoteswa na waarabu what a lie
Halafu utakuta kuna watu humu hata uarabuni iko upande gani hawajui
Mimi nimeenda Saudia, Bahrain, Emirates, Onan, Kuwait, Iraq, Syria, Jordan, Qatar juzi nilikuwa huko
Weusi wapo wengi sana na wengine wana maisha mazuri sana na hao ni wale mnaowaita Watumwa
Saudia wana sehemu yao kabisa na Kuwait mpaka Marehemu Sheikh Saad bin Abdallah bin Sabah alikuwa Amir wa Kuwait na mama yake alikuwa mweusi mtumwa alieolewa na Mfalme na kumzaa Saad mweusi
Airforce ya Kuwait yote imeshikiliwa na Blacks kwa taarifa yako
Oman mawaziri wapo weusi na mpaka wabunge pia
Hakuna utumwa tena kuhusu ubaguzi tz katika list wamo tena ubaguzi unaokubalika hata na serikali maana unakuta mtu anaanzisha uzi eti Bashe msomali au kuna wanyaruanda wamepenyezwa seriously [emoji15]
Tembeeni mjionee dunia sio mmejifungia kisa huna nauli halafu unachonga mdomo kwa akili iliyodumaa eti hakuna weusi uarabuni you are having a laugh [emoji2]
Hawa mbona kama ni waarabu wa Tanzania?
Mkuu, Tangu zamani Wazungu pamoja na kuwa waliwatumia watumwa kwa maendeleo yao lakini walikuwa na UTU.
Ikitokea Mwanamke wa kizungu amezaa na Mwanaume hata kama ni mweusi kama Mkaa lazima amtunze mwanae na ahakikishe ana maisha mazuri
Waarabu walikuwa na ROHO MBAYA na za kigaidi tangu zamani mpaka leo hii. Waliwahasi na kuwaua watu weusi
Ni Wabaguzi sana kama walivyo Wahindi.
Makobazi Wana tuletea picha za wapemba hawakubali ukweli
Nao waliiga kuvaa KUBAZI ya BANYANI!!Na hao wengine. View attachment 2371894
Ni kweli kabisa mzungu ana roho ya utu kwani hata wachungaji wameweza kuwaoa waafrika wanaume makanisani kama huyu hapa chini
View attachment 2373987
Nasikia walihasiwa ili wasizaliane
Tungekua tunawaona, watakua wachache sana hawajai kwenye Coaster wala, ila America na visiwani Jamaica, Haiti na kwingineko wanaonekana na hua wanajivunia uafrika wao, Jamaica wanaichukilia Ethiopia kama sehemu yao ya kuhiji na wana imani kua siku moja watarudi nyumbani AfrikaNenda uarabuni uone waarabu weusi wenye asili ya kiafrika wapo mpaka kesho. Acha propaganda
Tungekua tunawaona, watakua wachache sana hawajai kwenye Coaster wala, ila America na visiwani Jamaica, Haiti na kwingineko wanaonekana na hua wanajivunia uafrika wao, Jamaica wanaichukilia Ethiopia kama sehemu yao ya kuhiji na wana imani kua siku moja watarudi nyumbani Afrika
We ulizaliwa kipindi cha utumwa kumbe, kila kitu we umekiona sio?Kumbe umesikia tu babu, cha kusikia potezea.
We ulizaliwa kipindi cha utumwa kumbe, kila kitu we umekiona sio?