Kuna watu wanajifanya ooh nimeenda uarabuni na kuona weusi wanavyoteswa na waarabu what a lie
Halafu utakuta kuna watu humu hata uarabuni iko upande gani hawajui
Mimi nimeenda Saudia, Bahrain, Emirates, Onan, Kuwait, Iraq, Syria, Jordan, Qatar juzi nilikuwa huko
Weusi wapo wengi sana na wengine wana maisha mazuri sana na hao ni wale mnaowaita Watumwa
Saudia wana sehemu yao kabisa na Kuwait mpaka Marehemu Sheikh Saad bin Abdallah bin Sabah alikuwa Amir wa Kuwait na mama yake alikuwa mweusi mtumwa alieolewa na Mfalme na kumzaa Saad mweusi
Airforce ya Kuwait yote imeshikiliwa na Blacks kwa taarifa yako
Oman mawaziri wapo weusi na mpaka wabunge pia
Hakuna utumwa tena kuhusu ubaguzi tz katika list wamo tena ubaguzi unaokubalika hata na serikali maana unakuta mtu anaanzisha uzi eti Bashe msomali au kuna wanyaruanda wamepenyezwa seriously [emoji15]
Tembeeni mjionee dunia sio mmejifungia kisa huna nauli halafu unachonga mdomo kwa akili iliyodumaa eti hakuna weusi uarabuni you are having a laugh [emoji2]