Hawa mamilioni ya Waafrika waliopelekwa Uarabuni kuwa watumwa waliishia wapi?

Hawa mamilioni ya Waafrika waliopelekwa Uarabuni kuwa watumwa waliishia wapi?

Wewe ndio WA kudhibitisha Mimi nafahamu,,,fanya utafiti
Wewe umeleta jambo jioya ambalo halifahamiki na wengi. Na "uthibitisho uko juu ya mwenye kudai". Hivyo thibitisha.

Mwisho nakunasihi ndugu yangu pamoja na kujinasihi; kuwa makini, usije kuwatoa watu katika Uislam bila ya haki. Chunga sana, usiwe emotional sana mpaka ukajikuta unaandika kwa makosa.

Ni hayo tu.
 
Kama source yako ni Movie na Google basi sina hata haja ya kubishana nawewe.

Na si bure hata kwenye Google hujasearch vitabu umetype tu
Atupe hio source ya hii Taarifa
 
Yani wewe unajionyesha wazi kuwachukia waarabu, kwa taarifa yako tu, hakuna jamii iliyo na utu, ukarimu kama waarabu. Na usifikiri kuwachukia kwako waarabu ndio na wengine tukufuate, hilo liondoe akilini mwako, na Muisilamu ambae anawachukia waarabu huyo sio muisilamu wa kweli, bali ni jina tu, na wala hajasoma dini.

Bhujiku ng'waka
Kwahio ili niwe Mwislamu natakiwa niwapende waarabu

Ndo maana siwezi kufuata huu upuuzi wenu wa Dini
 
Watumwa wengi walipelekwa Amerika kufanya kazi mashambani (kazi ya kilimo ilihitaji watu wengi).
Ukisema mamilioni walipelekwa uarabuni ilikuwa kwa ajili ya kazi gani?
 
Kuna watu wanajifanya ooh nimeenda uarabuni na kuona weusi wanavyoteswa na waarabu what a lie
Halafu utakuta kuna watu humu hata uarabuni iko upande gani hawajui

Mimi nimeenda Saudia, Bahrain, Emirates, Onan, Kuwait, Iraq, Syria, Jordan, Qatar juzi nilikuwa huko

Weusi wapo wengi sana na wengine wana maisha mazuri sana na hao ni wale mnaowaita Watumwa

Saudia wana sehemu yao kabisa na Kuwait mpaka Marehemu Sheikh Saad bin Abdallah bin Sabah alikuwa Amir wa Kuwait na mama yake alikuwa mweusi mtumwa alieolewa na Mfalme na kumzaa Saad mweusi

Airforce ya Kuwait yote imeshikiliwa na Blacks kwa taarifa yako
Oman mawaziri wapo weusi na mpaka wabunge pia

Hakuna utumwa tena kuhusu ubaguzi tz katika list wamo tena ubaguzi unaokubalika hata na serikali maana unakuta mtu anaanzisha uzi eti Bashe msomali au kuna wanyaruanda wamepenyezwa seriously [emoji15]

Tembeeni mjionee dunia sio mmejifungia kisa huna nauli halafu unachonga mdomo kwa akili iliyodumaa eti hakuna weusi uarabuni you are having a laugh [emoji2]
 
Kwahio ili niwe Mwislamu natakiwa niwapende waarabu

Ndo maana siwezi kufuata huu upuuzi wenu wa Dini

Kwahiyo wewe huwapendi? Hiyo imani yako imekutaka kuwachukia binadamu wenzio!!
 
Kuna watu wanajifanya ooh nimeenda uarabuni na kuona weusi wanavyoteswa na waarabu what a lie
Halafu utakuta kuna watu humu hata uarabuni iko upande gani hawajui

Mimi nimeenda Saudia, Bahrain, Emirates, Onan, Kuwait, Iraq, Syria, Jordan, Qatar juzi nilikuwa huko

Weusi wapo wengi sana na wengine wana maisha mazuri sana na hao ni wale mnaowaita Watumwa

Saudia wana sehemu yao kabisa na Kuwait mpaka Marehemu Sheikh Saad bin Abdallah bin Sabah alikuwa Amir wa Kuwait na mama yake alikuwa mweusi mtumwa alieolewa na Mfalme na kumzaa Saad mweusi

Airforce ya Kuwait yote imeshikiliwa na Blacks kwa taarifa yako
Oman mawaziri wapo weusi na mpaka wabunge pia

Hakuna utumwa tena kuhusu ubaguzi tz katika list wamo tena ubaguzi unaokubalika hata na serikali maana unakuta mtu anaanzisha uzi eti Bashe msomali au kuna wanyaruanda wamepenyezwa seriously [emoji15]

Tembeeni mjionee dunia sio mmejifungia kisa huna nauli halafu unachonga mdomo kwa akili iliyodumaa eti hakuna weusi uarabuni you are having a laugh [emoji2]

Wanabahati sana, ningelikua mimi ndie rais watu kama hawa ninge..liku..a najika..matia na kusw..eka.. je....l..a. Ili na wengine wenye chuki na waarabu waadabike kidogo/wajirekebishe.
 
Mkuu, Tangu zamani Wazungu pamoja na kuwa waliwatumia watumwa kwa maendeleo yao lakini walikuwa na UTU.

Ikitokea Mwanamke wa kizungu amezaa na Mwanaume hata kama ni mweusi kama Mkaa lazima amtunze mwanae na ahakikishe ana maisha mazuri

Waarabu walikuwa na ROHO MBAYA na za kigaidi tangu zamani mpaka leo hii. Waliwahasi na kuwaua watu weusi

Ni Wabaguzi sana kama walivyo Wahindi.

Ni kweli kabisa mzungu ana roho ya utu kwani hata wachungaji wameweza kuwaoa waafrika wanaume makanisani kama huyu hapa chini amekuwa bibi wa Mzungu

1664638647527.png
 
Ni kweli kabisa mzungu ana roho ya utu kwani hata wachungaji wameweza kuwaoa waafrika wanaume makanisani kama huyu hapa chini

View attachment 2373987

Sheikh nakuona unawapa cash cash bila kukopesha

Mimi huwa nawachana laiv tu, mtu anamsema mwarabu mara oh wanatesa wafanyakazi mara oh walitesa mababu mara sijui nini🤣🤣
 
Nenda uarabuni uone waarabu weusi wenye asili ya kiafrika wapo mpaka kesho. Acha propaganda
Tungekua tunawaona, watakua wachache sana hawajai kwenye Coaster wala, ila America na visiwani Jamaica, Haiti na kwingineko wanaonekana na hua wanajivunia uafrika wao, Jamaica wanaichukilia Ethiopia kama sehemu yao ya kuhiji na wana imani kua siku moja watarudi nyumbani Afrika
 
Wawepo wasiwepo tutapungukiwa nini? Jamani tutafute hela,

Hivi ulishawahi kufika omani sehemu inaitwa salala??
 
We ulizaliwa kipindi cha utumwa kumbe, kila kitu we umekiona sio?

Wewe pia hujashuhudia ila umesimuliwa na wale ambao waliopotea kwa maana hawapo katika dini/hawamwamini Mwenyezi Mungu na Mtume wake MuhammadS.A.W,

Qur'an inatuambia nini kuhusu dhana!!👇🏽
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اجْتَنِبُوا كَثِيرًا مِنَ الظَّنِّ إِنَّ بَعْضَ الظَّنِّ إِثْمٌ ۖ وَلَا تَجَسَّسُوا وَلَا يَغْتَبْ بَعْضُكُمْ بَعْضًا ۚ أَيُحِبُّ أَحَدُكُمْ أَنْ يَأْكُلَ لَحْمَ أَخِيهِ مَيْتًا فَكَرِهْتُمُوهُ ۚ وَاتَّقُوا اللَّهَ ۚ إِنَّ اللَّهَ تَوَّابٌ رَحِيمٌ
Al-Hujurat 12 (DWELLINGS)

Enyi mlio amini! Jiepusheni na dhana nyingi, kwani baadhi ya dhana ni dhambi. Wala msipelelezane, wala msisengenyane nyinyi kwa nyinyi. Je! Yupo katika nyinyi anaye penda kuila nyama ya nduguye aliye kufa? Mnalichukia hilo! Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kupokea toba, Mwenye kurehemu.
 
Back
Top Bottom