Pre GE2025 Hawa ndio walioumizwa sana na matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bora wabaki watu sensible wansojielewa
 
Bado hujasema meku 🐼🤣
 
Kwa nini ukweli unauuita uropokaji? Kuuita ukweli ni uropokaji, ndiyo uropokaji wenyewe. Hivyo wewe ndiye unakuwa mropokaji.
 
Kwa hiyo mzee haujaumia ila umechukia na kususa 😂😂
 
Vijana wakajiandikishe tu ndio kilicho baki
Hapa umenena, CDM wahamasishe vijana kujiandikisha na sio kusubiri zoezi limefungwa wanaanza kulialia na pia uchaguzi mkuu sio wa kutegemea kelele za mitandaoni peke yake bali kwenda mtaa kwa mtaa na huko vijijini kuwashawishi vijana wajiandikishe kwenye daftari la mpiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…