Pre GE2025 Hawa ndio walioumizwa sana na matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
wala sijaumia hata kidogo! why siijaumia?
Lisu was my favorite politician...lakini hali aliyoionesha katika kampeni hizi na kuropoka kwake, nikamchukia...simtaki katu! Kwangu mimi chadema was my favorite pary... kama kuna mtu wa hovyo at the top, haininyimi usingizi...only one solution... to abandon it!
GOO and GET LOST FOREVER...!!
 
Ondoka haraka mkuu.
Hata sisi tuliondoka baada ya gia angani 2015 sasa tutarudi.
Mbowe wa hivyo zaidi ya Lissu.
 
Back
Top Bottom