Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
🤣🤣🤣Pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Pole sana
Ongeza Yericko1. Rais Samia
2.Dr. Nchimbi
3. Paul Makonda
4. Mrisho Gambo
5. Lucas Mwashambwa
6. @Mtumshi wa Mungu asiyemjua Mungu mama D
7. Crimea
8. Gwajima
9.Job Ndugai
Ahaa Mimi nilifikiri ni kitongoji Fulani huko njombe, maana sidhani kama ana sifa hata za kuwa chawaUyu ni chawa wa ccm ,alikua na kamdomo sana , kwenye uchaguzi ambao hata sio chama chake.
Tunamsubili alite kamdomo tena , safari hii tutakaziba na cementi
Ova mai dedi bodi😀😀
Hoja yako imejaa matone yote makubwa yenye uchungu mkali sana😀😅wala sijaumia hata kidogo! why siijaumia?
Lisu was my favorite politician...lakini hali aliyoionesha katika kampeni hizi na kuropoka kwake, nikamchukia...simtaki katu! Kwangu mimi chadema was my favorite pary... kama kuna mtu wa hovyo at the top, haininyimi usingizi...only one solution... to abandon it!
Huyo ataishi kwa uchungu hadi Oktoba tutakapomrejesha uraiani😅
Na ChoiceVariable mzee wa uchumi uchuro😅Ngongo umemsahau?
Sijawahi babaishwa na siasa zenu uchwara ukiniona na comment ujue ni mda wa mapunziko,jf ni sehemu yangu ya burudani Kwa sababu napenda mijadala ila sio mtu wa siasa.Na ChoiceVariable mzee wa uchumi uchuro😅
Ni wazi kabisa kuwa Yule Rais wa nchi jirani hawezi kumshinda lisu hapa kwenye nchi ya ugenini.1. Rais Samia
2.Dr. Nchimbi
3. Paul Makonda
4. Mrisho Gambo
5. Lucas Mwashambwa
6. @Mtumshi wa Mungu asiyemjua Mungu mama D
7. Crimea
8. Gwajima
9.Job Ndugai
Labda uko mlango ulee kwasababu nyeupe huiiti nyeusi, hahahakivip nimesahsulika gentleman 🐒
Na mimi niliahidi nitakufuata lakini nimetafakari nimeona haina namna maana wajumbe wametukataa! Wajumbe siyo watu! Pamoja na kupewa matumaini kwamba tumewafungia ndani wajumbe 700 bado tumepigwa! Wacha tuunge mkono tu ingawa kwa shingo upande!Mdomo unaponza,ila sasa hivi namuunga mkono Lisu,hakuna namna tena.
waelezee vizur wadau tafadhali gentleman 🐒Labda uko mlango ulee kwasababu nyeupe huiiti nyeusi, hahaha
Why Gwajima?1. Rais Samia
2.Dr. Nchimbi
3. Paul Makonda
4. Mrisho Gambo
5. Lucas Mwashambwa
6. @Mtumshi wa Mungu asiyemjua Mungu mama D
7. Crimea
8. Gwajima
9.Job Ndugai
kwamba you are no more gentleman, right?🐒Ova mai dedi bodi😀😀
Una hojaNi samiah pekee!hao wengine kwao ni fursa ya kurudi chimwaga!!
Lisu akianza kulishwa taarifa nyeti za kitengo kuhusu mikataba iliyosainiwa mama pressure itampanda ndipo kina nchimbi wataula na upepo kubadilika!!
Mama akikaza fuvu atakua no mhanga was usaliti Hadi vyombo nyeti kama alivyojipambanua Dr.Slaa!!
Nasubiri kuona!!