Pre GE2025 Hawa ndio walioumizwa sana na matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA

Pre GE2025 Hawa ndio walioumizwa sana na matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapa umenena, CDM wahamasishe vijana kujiandikisha na sio kusubiri zoezi limefungwa wanaanza kulialia na pia uchaguzi mkuu sio wa kutegemea kelele za mitandaoni peke yake bali kwenda mtaa kwa mtaa na huko vijijini kuwashawishi vijana wajiandikishe kwenye daftari la mpiga kura
Ntamfikishia huu ujumbe Mh. Mwenyekiti Lissu Leo jioni

Na nitamuonyesha apate kusoma huu ujumbe yeye mwenyewe
 
Utashindia makepu makubwa na miwani Kama fundi kuchomelea kuficha aibu wiki nzima.
ndio wewe nakuona hapa gentleman, unakatiza hapa sinza kijiweni una mawani makuuubwa na umepiga mlegezo dah! 🐒
 
Anaeumia kushinda wote duniani ni Magufuli akiwa kuzimu, kila akichungulia akimwona Lissu anatamani kuchomoka aje kumumalizia kwa risasi,kwa kuwa haiwezekani kuchomoka kuzimu kila akichungulia na kumuona Lissu anaishia kung'ata kidole na kutukana matusi.
 
Mwamba ni TEAM LISSU
🙏🏿💪🏿
IMG-20250122-WA0035.jpg
 
Anaeumia kushinda wote duniani ni Magufuli akiwa kuzimu, kila akichungulia akimwona Lissu anatamani kuchomoka aje kumumalizia kwa risasi,kwa kuwa haiwezekani kuchomoka kuzimu kila akichungulia na kumuona Lissu anaishia kung'ata kidole na kutukana matusi.
Yule shetani tulimuonya sana hakusikia.
Tukamalizana naye katika Bwana
 
Back
Top Bottom