Pre GE2025 Hawa ndio walioumizwa sana na matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA

Pre GE2025 Hawa ndio walioumizwa sana na matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ntobi, MMM, Kiwelu, Suzan, Covid 19 , Mrema, Kigaila, Mwl, Mwita ,Mchome, Kileo,
 
Ansbert Ngurumo akimpigia sana debe Mbowe kwenye “ Maswali Magumu”!
Sijua baada ya Lissu kushinda ataleta longo longo gani Tena!
Ansbert Ngurumo nimemzalau sana na siku hizi simfuatilii kabisa kwenye youtube zake. Mjamaa ni mjinga sana yaani hata hajishitukii kuwa against na umma.

Maswali ya kijinga mwenyewe eti anayaita maswali magumu. Mpuuzi sana
 
Mwabukusi anakwenda kuchukua Jimbo la Mbeya mjini na kupewa kiti cha Kanda ya Nyasa.

cdm kumenoga!
Mwabukusi akachukue jimbo la kwao Busokelo. Mbeya awaachie vijana wengine wawatoe jasho chawa wa Samia wakina Tulia.
 
Mwamuzi wa Tanzania hii imekaaje,
Mtu anajitahidi kuhonga kila aina ya vitu vya thamani
Gari unamnunulia, Laptop, Simu ya thamani, mikufu nk nk halafu kabla ya kufaidi matunda yake anaolewa na mwingine
Abdul, Sa100, TISS, Kikwete wanajisikiaje mahela ya kulabisha mtu asali na hata mihela ya uchaguzi kutoa toa end of the day Lissu kamchukua Mwali Chandema?
 
Inauma sana.
Bilioni zao Mbowe azilipe hata nusu
 
Lucas Mwashambwa yupo anaanda andiko moja ,lenye kichwa cha habari, 2025,CHADEMA chini ya LIsu inakwenda kuangukia pua,kisha Lisu atatorokea Ubelgiji kwa Aibu, baada ya hapo atashuka na andiko lenye kicha cha Habari kisemacho, Mitaani watanzania wabubujikwa na machozi ya furaha,waahidi kumpa kura Zote Mama.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mbowe na team yake walikiapiza kuwa angeshinda , hao wote team Lissu wangefukuzwa Chadema!!
Sasa ameshindwa, wale wote walikuwa wanakiharibu chama kama Wenje ni lazima wakiuzuru au wafukuzwe! Kuwaacha ndani ya chama sio busara; hao watu wana sumu watakidhuru chama!! Hii ilikuwa vita Mira’s hakuna kuchekeana.
 
Back
Top Bottom