Hawa ndio wana JamiiForums niliokutana nao

Ndio maana huwa nakukubali, japo kichinichini.
 
Kasema wote aliokutana nao, kama hajakutana na wewe basi hajakulenga.
 
Wabongo mmezidi kuchunguzana.

Ishi maisha yako, acha kuchunguzachunguza watu wanaishije.

Hayo mambo yote uliyotaja hakuna la ajabu.
 
Kumbe nna gari kali, nyumba,nishawapeleka wadogo zangu vacation...na biashara kubwa nnazo ila hamniambii
Sijapenda kwakweli
makaveli10 kumbe mi huku ni tajiri afu huniambii[emoji849][emoji849]
Kumbe nina rafiki kibosile nami sijui, pacha wangu kabisa una mihela, Fanya kunipunguzia walau robo tu ndugu yangu, mie nawe damdam ujue
😂 😂
 
HHM ndio jukwaa gan mkuu

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
"If you throw a stone to a pack of dogs, the one that hollers the most is the one hit by a stone..."

Kiufupi nimecheka mno, povu la kwenye huu uzi siyo la dunia hii. Nipo hapa naendelea kusoma michango ya wadau, waliowahi kuonana...

Ila yote tisa, ninyi matajiri wa JF hii tabia ya kuonana nje ya JF madhara ndiyo haya sasa. Mkishaonana huko Karambezi, jitahidini kuyamalizia mambo yenu hukohuko nje...
 
Nimekutana na wana JF weeengi saana....ila ambaye hatujawahi kukutana ndiye nilimjua walau zaidi ya ambao nilikutana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…