Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

Taja wengine wenye Ligi zao humu yaani ukizungumzia Jambo Fulani lazima aje kulitetea au kuliponda Kwa nguvu zote na mtakesha humu, ikiwezekana wapo tayari kupigwa Ban lakini sio kushindwa vita.
Kulikuwa na msela anaitwa Deception way back alikuwa na falsafa yake ya kuwa ukimwi ni kitu ambacho hakipo na threads nyingi za ukimwi Jamaa ilikuwa ni lazima achangie. Sijui jamaa alienda wapi ?
 
Back
Top Bottom