Hawa ndio Warembo waliouawa kwa kutembea uchi huko Iran

Mbona sioni uchi au uzee umeshaingia
 
Watajuana na lidini lao hilo la kishetani
Mkuu
Aina hii ya mawazo ni wazi unajiona wa thamani kuliko wanadamu wenzako.

Tuwaache Waislam na ibada zao na siyo kuwafanyia dhihaka. Imani ya kweli ni ile inayosimamia kumcha Mungu na kuwaombea wengine wakutane na Neema ya Mungu
 
Kwani kuvaa hijabu ndio kuwa mcha Mungu!? Mioyo yetu anaijua Mwenyezi Mungu, kumhukumu mtu kwa kumuua kisa eti hajavaa hijabu ni ujinga wa hizi imani zilizoletwa kwenye majahazi
Ndugu, hivi Ni jambo gani ambalo ww unalifanya hukuletewa kutoka kwa mtu mwingine??

Kila jamii na nchi huwa na utaratibu wake ambao kwa jamii nyingine au nchi nyingine huenda unaweza ukawa sawa amaa laa!

Binadam ili aweze kwenda vzur lazim apunguziwe uhuru wake na kumwekea sheria na utaratibu bila hivo hi dunia itageuka kuwa mbuga..

Wao wanautaratibu wao ambao kwao sio mgeni ulikuwepo tangia enzi na enzi na huenda kwao wanauona unafaa! Huwez kuwapangia namna yakuishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uislamu ni Dini ya Shetani, nasikitika Waislamu wengi hawaijui hii habari.

Wameletewa tu maandishi ya Kiarabu wayakariri hata bila kujua maana yake.

Rushdie kawaambia wazi kabisa wanaishia kumtafuta ili wamchinje.

Kwanini hawamjibu ?
Ni kwamba wameshindwa hoja.

Nawapa pole sana
 
Biblia mara muipinge mara muikubali. Kazi kweli kweli.
 
Unamchinja mtu kwa sababu ya Allah ?
Kwani huyo Allah hayupo ili awaadhibu kama wamemkosea.

Dunia sasa hivi inanabadilika kila uovu utawekwa hadharani.

Mathayo 5:14 Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima.

15 Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani.

16 Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
 
Sheria nyingine ni non-sense.

Kwani kuvaa Hijab au baibui kufunika mwili wote ndio unakuwa sio muhuni?
Kuna demu mmoja anajiuza, nilimla mwaka juzi... anakaniambia yeye mchana huwa anavaa baibui ile ya Juba kabisa ya kuacha macho tu...

ukikutana naye mchana utasema mke wa kuoa huyu hapa, ila usiku ni ana danga kwenye baa pale Tabata
 
Daaah huu uzi bwana umekaa kisiniper , yaani ukitoa kichwa tu unavutiwa trigger unakula kitu.
 
Je kuna sehemu kwenye ayo Maandiko uliyoyanukuu kumeelezea ni aina gani ya mavazi(yalikuwa ya mitindo upi ) Mungu alimpatia Adam na hawa? Je mavazi yampasayo mwanaume ni yapi? na yampasayo mwanamke ni yapi? Maana hapa naona kuna contradiction za mila na desturi za watu kuingiliana na imani.

Turudi kwenye mada Tofauti ya bibilia na Quran ipo kwenye kujistiri miili yao (wanawake) upande wa vichwa.
"Basi nawasifu, kwa sababu mmenikumbuka katika mambo yote, nanyi mmeyashika yale mapokeo vile vile kama nilivyowatolea. Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu. Kila mwanamume, asalipo, au anapohutubu, naye amefunikwa kichwa, yuaaibisha kichwa chake. Bali kila mwanamke asalipo, au anapohutubu, bila kufunika kichwa, yuaaibisha kichwa chake; kwa maana ni sawasawa na yule aliyenyolewa. Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe. Kwa maana kweli haimpasi mwanamume kufunikwa kichwa, kwa sababu yeye ni mfano na utukufu wa Mungu. Lakini mwanamke ni utukufu wa mwanamume. Maana mwanamume hakutoka katika mwanamke, bali mwanamke katika mwanamume. Wala mwanamume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanamume. Maana kama mwanamke alitoka katika mwanamume, vile vile mwanamume naye huzaliwa na mwanamke; na vitu vyote asili yake hutoka kwa Mungu. Hukumuni ninyi wenyewe katika nafsi zenu. Je! Inapendeza mwanamke amwombe Mungu asipofunikwa kichwa? Je! Hayo maumbile yenyewe hayawafundishi ya kwamba mwanamume akiwa na nywele ndefu ni aibu kwake? Lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni fahari kwake. Kwa sababu amepewa zile nywele ndefu ili ziwe badala ya mavazi. Lakini mtu ye yote akitaka kuleta fitina, sisi hatuna desturi kama hiyo, wala makanisa ya Mungu.
1 Korintho 11:2‭-‬9‭, ‬12‭-‬16
Hapo unaona mwanamke kufunika kichwa ni wakati wa ibada tu

maaandanao yanayo endelea huku yametokana na mwanamke kufia mikononi mwa polisi kisa aliachia nywele wazi.
 
Kuna demu mmoja anajiuza, nilimla mwaka juzi... anakaniambia yeye mchana huwa anavaa baibui ile ya Juba kabisa ya kuacha macho tu...

ukikutana naye mchana utasema mke wa kuoa huyu hapa, ila usiku ni ana danga kwenye baa pale Tabata
Kabisa nachojua hakuna uhusiano wa kuvaa hijabu/nikab/baibui na tabia nzuri......ndio maana yule dada wa IFM anavaa hijabu anafunika nywele lakini anatoa Iphone 13 -Jito la 3.
 
Wangewaacha allah awahukumu
 
Ukifuga ndevu tu jiandae kutunukiwa mabikra 72 weupe.
 
Hizo picha ndio zilizowafanya wakauwawa, hivi ni kweli hapo wapo uchi, inasikitisha sana
 
Mkuu unajua nguo zimekuja ama zimegunduliwa na biandamu mwaka gani. Majuzi tu hapa watu walikuwa uchi na Ni kawaida mbona. Ukienda umasaini kuona Tori nje Ni ishu ya kawaida kabisa.
Waulizie watu waliokuwa wanajitambua kiufahamu around 1940/50 wazazi wetu wengine walikuwa uchi tu.


Ina Mana inabidi sie Wana ume tujidhibiti tusiwaangalie wanawake wanapokuwa uchi ili tusinanahii oftentimes ili kuharibu nguvu zetu ama unasemaje.


Ni sawa ulichosema sema nawewe umekuwa biased.
Ke anabanwa mno wakati shida iko kwa me.
Yaani mtu akauwa kisa unywele kuonekana kweli wewe mbona hujaficha macho yako yasiuone huo unywele.


Dini ya kuhukumiana wenyewe kwani Mungu yeye hayupo hatakuja jihukuhumu ama ndio kazi yako.
Utadai kitabu chake hata wahindi wajapan wachina wazungu waarabu wazungu ama waulaya na waafrika Wana kitabu chake pia.
Kwani hatukuishi vizuri mno afrika kabla hii mijamaa yenye ngozi ya nguruwe haijaja hapa afrika Kuja kutuchafulia kacha yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…