Hawa ndio Warembo waliouawa kwa kutembea uchi huko Iran

Hawa ndio Warembo waliouawa kwa kutembea uchi huko Iran

Ndugu, hivi Ni jambo gani ambalo ww unalifanya hukuletewa kutoka kwa mtu mwingine??

Kila jamii na nchi huwa na utaratibu wake ambao kwa jamii nyingine au nchi nyingine huenda unaweza ukawa sawa amaa laa!

Binadam ili aweze kwenda vzur lazim apunguziwe uhuru wake na kumwekea sheria na utaratibu bila hivo hi dunia itageuka kuwa mbuga..

Wao wanautaratibu wao ambao kwao sio mgeni ulikuwepo tangia enzi na enzi na huenda kwao wanauona unafaa! Huwez kuwapangia namna yakuishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli hizo sheria waliwekewa na hao wafuga ndefu baada ya kumpindua mfalme shah mwaka 1979 so kuwa makin na chanzo chako cha taarifa chief.
 
Biblia inasema nini kuhusu mavazi ya wanawake? Basi ukristo ndio itakuwa dini ya kishetani kama ni hivyo.

Suruali ni mojawapo ya mavazi yasiyo na adabu kwa wanawake.
Mwanzilishi wa mavazi ni Mungu mwenye aliyetufanyia sisi mavazi wanadamu [MWANZO 3:21]. Na kama Mungu hangekuwa hajali Wala haangalii issue ya mavazi, basi kwanini asingewaacha wanadamu bado wakaeendelea kuwa uchi?
Lakini Mungu hakufanya hivyo, bali aliwafanyia mavazi yake yaliyokuwa bora zaidi tofauti na yao yaliyokuwa hayawasitiri vizuri uchi wao [ MWANZO 3:7, 21]. Mwanamke asivae MAVAZI YAMPASAYO mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo NI MACHUKIZO KWA BWANA, Mungu wako. Tena bado hata katika Agano jipya kwa kukazia issue hiyo hiyo ya mavazi vilevile akaendeleaa kusema mwanamke na ajipambe kwa mavazi ya kujisitiri [1 TIMOTHEO 2:9].
Suala la mavazi binadamu ndo waliamua wavae baada ya kuona wako utupu waliwekwa bustanini wakiwa Kama tuzaliwavyo, kwa hio vaa chchote mradi usiwe uchi
 
Back
Top Bottom